Hii Nchi hatujawahi kuwaSiriasi hata siku Moja, Katika Nchi hii huwa nayakubali sana Maonyesho ya utalii ya KARIBU TRADE FAIR, Mengine ni full usanii, na kwa kweli ni vigumu sana sisi Watanzaia kupiga hatua n hat kushindana na nchi za SADC na EAC,
Ni Tazania pekee unapo weza kuta maonyesho ya kilimo lakini % ya vitu vilivyoko kweye maonyesho havina uhusiano wowote ule n kilimo, Chukulia mfano Maonyesho ya Kilimo kule Dodoma na usanii wa kiwango cha juu kabisa mk Uwanja umejaa mabanda ya Serikali, na bora hayo ma bandaya Serikali yangekuwa yanjihusisha na kilimo basi,
Dodoma uakuta kuna Wizara ya Afya pale,Wizara ya Ujenzi, kuna EWURA, kuna SUMATRA, kuna tume ya kudhibiti Ukimwi sijui TAKUKURU, na mwenine mengi hapa nashindwa kupata uhusiano wa hizi tasisi na kilimo, watu kule wanaenda kupiga Perdiem zao tu,
Nashindwa kupata kwa nini inakuw hivi, kwa nini amonyesho ya kilimo unakuta zimejaa taasisi zisizo kuwa na uhusiana a kilimo?
MIMI NAONA BORA TUANZISHE JAMII FORUM TRADE FAIR, Make inaweza kuwa na sound