Nanenane

Nanenane

culboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
526
Reaction score
47
Umejifunza kitu ghani kipiya kwenye maonyesho ya nanenane mwaka huu
 
Hii Nchi hatujawahi kuwaSiriasi hata siku Moja, Katika Nchi hii huwa nayakubali sana Maonyesho ya utalii ya KARIBU TRADE FAIR, Mengine ni full usanii, na kwa kweli ni vigumu sana sisi Watanzaia kupiga hatua n hat kushindana na nchi za SADC na EAC,

Ni Tazania pekee unapo weza kuta maonyesho ya kilimo lakini % ya vitu vilivyoko kweye maonyesho havina uhusiano wowote ule n kilimo, Chukulia mfano Maonyesho ya Kilimo kule Dodoma na usanii wa kiwango cha juu kabisa mk Uwanja umejaa mabanda ya Serikali, na bora hayo ma bandaya Serikali yangekuwa yanjihusisha na kilimo basi,

Dodoma uakuta kuna Wizara ya Afya pale,Wizara ya Ujenzi, kuna EWURA, kuna SUMATRA, kuna tume ya kudhibiti Ukimwi sijui TAKUKURU, na mwenine mengi hapa nashindwa kupata uhusiano wa hizi tasisi na kilimo, watu kule wanaenda kupiga Perdiem zao tu,

Nashindwa kupata kwa nini inakuw hivi, kwa nini amonyesho ya kilimo unakuta zimejaa taasisi zisizo kuwa na uhusiana a kilimo?

MIMI NAONA BORA TUANZISHE JAMII FORUM TRADE FAIR, Make inaweza kuwa na sound
 
hakuna la maana skuizi watu wengi wanaenda kununua maua ya plastic
 
Umejifunza kitu ghani kipiya kwenye maonyesho ya nanenane mwaka huu

Nimejifunza dawa za asili hasa za kuongeza nguvu...
Nimekula nyama safi ya kutoka ranchi za taifa.
Nimeshuhudia walevi wengi
Nimeona Promotion za vodacom airtel na tigo.

Maonesho haya "yana manufaa" sana kwa sisi wakulima"
 
Inasikitisha sana, ni kweli tunahitaji trade fair yetu walau mara moja kwa mwaka kubadilishana ujuzi na contacts
 
Tehe tehe, mkuu huwa nina docomentary ya trade fair za nchi za SADC kwa kweli Tanzania tunashangaza,
Na kwa staili hizi za maonyesho tusahau kabisa
 
Inasikitisha sana, ni kweli tunahitaji trade fair yetu walau mara moja kwa mwaka kubadilishana ujuzi na contacts

Ni kweli na inawezekana kabisa, na inakua ni mzunguko kipindi hiki Dar baadae Arusha, Mbeya, mwanza na kazalika, hakuna kinacho shindikana pale palipo na juhudi.

Hizi Sabasaba na 8 8 hazina tija
 
Ya mwaka huu haiitwi nanenane bali sabanane.,
 
Sehemu nzuri ya kutengenezea per diem kwa wafanyakazi wa serikali - By the way tusiwe too negative bado kuns vitu vizuri viwili vitatu kwa mkulima mimi nilikua na shida sana ya kufany soil analysis shambani na maonyesho yamenisaidia sana
 
Back
Top Bottom