Nani adui namba moja wa Kongo

Nani adui namba moja wa Kongo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nani adui namba moja wa Kongo? Ni mkongomani mwenyewe. Nilivyofanya uchunguzi, nimegundua kuwa Kongo ina adui mwingine mkubwa zaidi ya M23 – ni Kabila la Wakasai. Hawa ndio chanzo cha ugonjwa wa ubaguzi katika Kongo.

Mwaka 1960, Joseph Kasavubu alipochukua madaraka, Wakasai walieneza habari kuwa Kasavubu sio mkongomani, bali mtoto wa mzungu. Hii ilifanya Wakongo wengi waamini kuwa Kasavubu sio mwafrika wa Kongo. Kisha alikuja Mobutu, na Wakasai walieneza habari kuwa yeye sio mkongomani, bali ni “Tongolais.”

Pia, walieneza uvumi kuwa Laurent Kabila sio mkongomani bali ni Mtanzania, na Joseph Kabila ni mnyarwanda. Katumbi ni mzambia Hadi leo, Felix Tshisekedi, ambaye ni mkasai, anapohusishwa na Wakasai, wanasema kuwa yeyote anayekataa kumkubali ni adui wa Kongo na sio mkongomani.

Wakasai wana uwezo mkubwa wa kudhibiti vyombo vya habari na kueneza habari za uongo. Wanaweza kulipa vyombo vya habari ili vianze kutoa taarifa za uzushi, na hii inachangia zaidi katika kuchochea ubaguzi na vurugu. Mobutu aliwahi kututadharisha na hawa watu

Wamewahi kusema kwamba Waswahili ndiyo waasi, lakini ukweli ni kwamba, kama hatutawafahamu hawa Wakasai, tutaendelea kukosa amani ya kweli.

Kama Kongo itataka amani, ni lazima waanze kwa kutatua tatizo hili la ubaguzi unaosababishwa na hawa watu.
 
Nani adui namba moja wa Kongo? Ni mkongomani mwenyewe. Nilivyofanya uchunguzi, nimegundua kuwa Kongo ina adui mwingine mkubwa zaidi ya M23 – ni Kabila la Wakasai. Hawa ndio chanzo cha ugonjwa wa ubaguzi katika Kongo.

Mwaka 1960, Joseph Kasavubu alipochukua madaraka, Wakasai walieneza habari kuwa Kasavubu sio mkongomani, bali mtoto wa mzungu. Hii ilifanya Wakongo wengi waamini kuwa Kasavubu sio mwafrika wa Kongo. Kisha alikuja Mobutu, na Wakasai walieneza habari kuwa yeye sio mkongomani, bali ni “Tongolais.”

Pia, walieneza uvumi kuwa Laurent Kabila sio mkongomani bali ni Mtanzania, na Joseph Kabila ni mnyarwanda . Katumbi ni mzambia Hadi leo, Felix Tshisekedi, ambaye ni mkasai, anapohusishwa na Wakasai, wanasema kuwa yeyote anayekataa kumkubali ni adui wa Kongo na sio mkongomani.

Wakasai wana uwezo mkubwa wa kudhibiti vyombo vya habari na kueneza habari za uongo. Wanaweza kulipa vyombo vya habari ili vianze kutoa taarifa za uzushi, na hii inachangia zaidi katika kuchochea ubaguzi na vurugu.
Mobutu aliwahi kututadharisha na hawa watu

Wamewahi kusema kwamba Waswahili ndiyo waasi, lakini ukweli ni kwamba, kama hatutawafahamu hawa Wakasai, tutaendelea kukosa amani ya kweli.

Kama Kongo itataka amani, ni lazima waanze kwa kutatua tatizo hili la ubaguzi unaosababishwa na hawa watu.
Mkuu, hivi Kongo ina makabila mangapi? Hawa wakasai, wanazungumza lugha tofauti na kilingala? Hivi kuna kabila la lingala ambalo ndilo huzungumza kilingala?
 
Back
Top Bottom