Nani afanye nini ili kuridhishana katika tendo la kujamiiana?

Nani afanye nini ili kuridhishana katika tendo la kujamiiana?

De Fantastico

Member
Joined
Nov 30, 2018
Posts
15
Reaction score
6
Salaam wana jamvi!!

Naomba nikiri kutokua mwenyeji sana kwenye forum, ila ninakataaluma kadogo ka saikolojia lakini ni mtu niliyewahi pitia kwenye mahusiano hadi leo nina mke na mtoto.
Nirudi kwenye mada husika, katika miaka yetu hii wapenzi wanapitia changamoto nyingi mno hasa kwenye suala la kuridhishana, kwa utafiti wangu usio rasmi nimegundua kuwa wanaolalamika zaidi ni wanawake na kutokana na mambo kutowaendea sawa wakaibuka na majina na misemo mingi kama kibamia, karoti, wanaume wa Dar n.k. sasa ili kuliweka sawa hili inabd tujue kwanza yafuatayo

1: Mwanaume ni mtu ambaye kufika kileleni ni jambo ambalo lipo na linapatikana kirahisi sana

2: Kufika kileleni kwa mwanamke ni jambo ambalo ni gumu kidogo na linahitaji ushirikiano, ubunifu na ujanja wa pande zote mbili

Je nini kifanyike hili wote wafikie kilele cha burudani?

Tendo ni starehe na kiunganishi cha couple ila lisifanywe kwa ubinafsi, yan mwanamke amfikirie mwanaume na mwanaume amfikirie mpenzi wake ili kuhakikisha kuwa hata kama mm naweza kumaliza sahv basi nistahimili kidogo ili kumsubiri mwenzangu. Mwanamke pia anatakiwa kujua kuwa mwanaume hata kama amemaliza; ujuzi na utundu wako unaweza kumwamsha na kumrudisha tena mwanaume kwenye game, hvyo mwanaume usibaki kupiga kamoja na kukimbilia kulala kwa kujiona umechoka wakati mwenzio bado yuko njiani na mwanamke usilale na kinyongo kwa kuachwa njiani badala yake mchangamshe mwenzio kwa kutumia mwili wako na akili yako ili arudi tena kwenye njia.
Ni kwa namna gani mnaweza kuyafanya haya? kitu kinachohitajika ni kusoma saikolojia ya mpenzi wako na kujua mwenzangu nikimgusa wapi, nikimnyonya nini, nikatekenya wapi anapata hamasa

Hebu jaribuni haya halafu utaona vile kila mmoja anaweza furahia tendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom