Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

The boss yaani nilianza kumuona kule kwenye blog ya mange
pia mzee wa fact lemutuz
 
pale mahali si unapajua na wewe? unataka kina bguard waje?
Hivi yupo huyo jamaa! Kitambo saana...mwambie bae mwaka mpya mabodigadi wapya..kina super wanakamia saana [emoji52][emoji52]
 
unataka hiyo nafasi mkuu? naweza ongea na bae wangu tufanye mpango. Tangia super ameenda mndenyi hajaonekana tena. ila yuko likizo tu mkuu.
 
Nafasi staki ila nataka uwe huru...
[HASHTAG]#HASHTAG[/HASHTAG][freejje's]HASHTAG#[emoji123][emoji123]
 
waoooo, kumbe ni hilo tu, hata hivyo niko huru ila jua tu ukipenda lazima uweke weke mbwembwe.

Hizo za bodigadi ni mbwembwe tu maana hata hajawahi nikuta pabaya. mie ni mtoto mwema kabisa na yeye analitambua sema tu basi.
 
Aiseeeh..ntauza arusha walai (in mong'oo sound) chekereni mianzi ololoo 360 soko mjinga yote yakooo
 
Back
Top Bottom