Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Mi nafurahi kuona mtu alieyeweka avatar ya kwake mwenyewe sio kuchukua picha za watu yani nikiona mtu tu avatar yake ni mwenyewe nafurahi sana kwakuwa najua anajielewa sio kuficha picha kama JAMBAZI Fulani hivi
 
Mm napenda wote wenye kuchangia kwa busara. Ila mm nko tifauti kidogo nikona mkuu TIZED amechangia uzi wangu nafurah hadi nashangaa. Hii kichwa ni kitu ingine. Congrats mkuu
 
Geniveros asee... Plus Miss chagga na Lara one kiboko yao..
[emoji124] [emoji124] Faiza fox.. Hata akitupia like sio mbaya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…