Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Bora umechangia mrembo.Ahahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umechangia mrembo.Ahahahaa
Hata mm aisee nalipwa. Furaha ninayopata humu ni zaidi ya shekeli.
Chezea JF weweeee
[emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaa ntakufata pmJikedume
Mtalipwa mnakopata furaha[emoji85]Eti? Sisi wengine?
Ulitaka kuniingiza mkenge ww[emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaa ntakufata pm
Tutajie familia moja tu iliyokufa kwa njaa, hayo magazeti hayana mamlakamagazeti yaliyonunuliwa na wapinzani lakin njaa kali
Mtalipwa mnakopata furaha[emoji85]
Kwenye Avatar yako ni Michael Jackson au ni wewe ?Mi nafurahi kuona mtu alieyeweka avatar ya kwake mwenyewe sio kuchukua picha za watu yani nikiona mtu tu avatar yake ni mwenyewe nafurahi sana kwakuwa najua anajielewa sio kuficha picha kama JAMBAZI Fulani hivi
Kapi hako acha uchokoziOh! Kumbe unalipwa "furaha"...? Kale kabrazameni kumbe kanafeli kweli.
Mimi nakaribia kufa mahindi yamekauka yote hakuna mvuaTutajie familia moja tu iliyokufa kwa njaa, hayo magazeti hayana mamlaka
Chief hapendi kabisa sema watu wanamtibuaga tu
Hmm! Kama kweli basi kheri, maana mshkaji nilijua angejibu kwa maneno machafu.
HahahhhHapa ndio nimegundua kwanini mmecheka sana.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]