Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Faizafox....napenda anavyorekebisha lugha

Anaweza asichangie hiyo mada lkn akatumbua uandishi wako
 
Nachopendea JF huku ukianzisha thread lazima upate wachangiaji tofauti na Facebook na Insta ambapo kule upate wachangiaji inabidi wasichana wabinue misambwanda.
 
Mi nafurahi kuona mtu alieyeweka avatar ya kwake mwenyewe sio kuchukua picha za watu yani nikiona mtu tu avatar yake ni mwenyewe nafurahi sana kwakuwa najua anajielewa sio kuficha picha kama JAMBAZI Fulani hivi
Kwenye Avatar yako ni Michael Jackson au ni wewe ?
 
Kuna mtu simpendi humu aki like, aki comment na aki quote post za mtu flani
 
Back
Top Bottom