Nani akichangia Uzi wako unafurahi?

Mi nafurahi kuona mtu alieyeweka avatar ya kwake mwenyewe sio kuchukua picha za watu yani nikiona mtu tu avatar yake ni mwenyewe nafurahi sana kwakuwa najua anajielewa sio kuficha picha kama JAMBAZI Fulani hivi
Wewe hiyo hapo kwenye avatar ni picha yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…