Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitashangaa sana kama nilivyowahi kushangaa huko nyuma Emmanuel Nchimbi kuwa waziri!!!!!!!!! but this will happen!
Lowasa, Chenge, Rostam, Sofia, Ghasia, Kawambwa, Burian, Mkulo, Ngeleja, Mahanga..nitashangaa na kusikitika sana
Iwe hiv
- Jakaya mrisho kikwete akiwa pia Waziri wa Mambo ya nje. Hiyo ofisi ya reception ya serikali Inamfaa pia( Rais Amiri jeshi Mkuu na waziri wa mambya nchi za nje ):doh::doh::doh::doh::doh::doh:
- Prof Anna Tibaijukaawe PM:smile-big:
- January MakambaApewe wizara ya Kilimo.:nono:
teh teh teh
nitakasirika sana kama Mwakyembe atapewa uwaziri ni muhimu sana nyuma ya Tundu lisu Kusimamia haki
Nitasikitika sana Kawambwa akiwa waziri hasa wizara ya miundombinu kwani kipindi kilichopita ndio kalidanganya bunge kuwa kuna muwekezaji wanazungumza nae na mazungumzo yalikuwa yanafikia tamati juu ya kuifufua ATCL!!! Hakuna chochote alichofanya mpaka shirika sasa liko hoi bin taaban!! Akipata uwaziri itakuwa kwa vile anatoka Bagamoyo na si kwa utendaji!!
VICKY KAMATA akipewa wizara yeyote ITANIUMA SANA
ntafurahi sana nikisikia Kibonde wa Cluds FM kawa waziri wa mambo ya katiba
Mzee Mwanakijiji, Edward Ngoyai Lowasa akirudishwa kuwa PM, mimi nitafurahi kwa dhati kutokana na track record yake ya utendaji, ukiondoa his role kwenye Richmond.
Huko nyuma ilishawahi kutokea
Kawawa alikuwa PM 22 January 1962 mpaka 9 December 1962 post ilipofutwa. Akarudishwa tena 17 February 1972 hadi 13 February 1977
Edward Moringe Sokoine alikuwa PM 13 February 1977 hadi 7 November 1980 akawa too much, akaondolewa akaletwa Cleopa David Msuya 7 November 1980-24 February 1983, Moringe akarudishwa tena 24 February 1983-12 April 1984 alipoitwa mbele ya haki.
Msuya akarudishwa tena 7 December 1994-28 November 1995.
Nawaombeni tusimchukie Lowassa kwa chuki binafsi, tuchukie matendo yake na kuyalaani kwa nguvu zote, lakini yeye kama binadamu hakuna mkamilifu, asamehewe, penitentiary aliyokaa imemtosha, amejifunza, atajirekebisha.
Pasco.
Mkuu sasa unataka sisi wengine tuache kusoma makala zako kwenye Raia mwema.Huwezi kuja na hoja laini na maswali kama haya badala yake tulitegemea kuja na uchambuzi wenye kumulika mwelekeo wa CCM(serikali ya Kikwete) maana tayari uchaguzi wa Spika unatupa hali itakavyokuwa huko mbeleni.Kuna watu/mtu ambaye ukisikia kapewa Uwaziri au hata Unaibu utashangaa, utasikitika au utafurahia, ni yupi huyo?[/
Sina Mchango kwa hili.