Elections 2010 Nani akipewa Uwaziri, Utashangaa, utasikitika au utafurahia?

Tibaijuka akipewa Ardhi,
Makamba january mambo ya Nje,
Makongoro mahanga akipewa mambo ya ndani
Kawambwa Shukuru akipewa miundombinu
HAKYANANI NITASIKITIKA NA NINAAPA NITAGOMBEA UBUNGE 2015
 
nitakasirika sana kama Mwakyembe atapewa uwaziri ni muhimu sana nyuma ya Tundu lisu Kusimamia haki
 
sitashangaa wala kusikitika kwa sababu najua ccm are capable of everything and nothing.
 
Mimi nitafurahi mheshimiwa Mrema akiteuliwa waziri wa mambo ya ndani. Wengine tumechoka na porojo na propaganda za majukwani ambazo hazimuongezei Mtanzanania tija hata siku moja.

Always kusema ni rahisi sana kuliko kutenda. Watendaji wengi ambao walikuwa wazuri kwa nchi yetu hawakuwa pia mabingwa wa kelele za majukwani, mfano ni marehemu Sokoine au hata Magufuli, prof, Mwandosya nk. sio watu wa makelele mengi lakini naamini ni watendaji wazuri kuliko viongozi wengi.

Kuna vijana wengi ambao hata hatuwajui, wanaweza kuwa watendaji wazuri. Muhimu ni kupewa nafasi ili tuje tuwahukumu kwa matendo yao na wala sio kimya chao.
 
unfortunately our president and his co-pilot members have blank-minds and so Tanzania being ridden remotely, wonder if either of those suggestions will be considerably taken into account.
 
Nitashangaa sana kama nilivyowahi kushangaa huko nyuma Emmanuel Nchimbi kuwa waziri!!!!!!!!! but this will happen!

Sijui uko wapi lakini ungekuwa Dar. ningekwambia uende ferry ukashangae zaidi kwani Emmanuel Nchinbi kuwa waziri is a certainity!! Ukweli ndio huo!
 

well well well...
 

naaaaaaam huyu si ndio alijisifia kujenga matundu manne ya vyoo kwa mil 700!!!!!!????
atabebwa tu ndugu yake wote watoto wa bagamoyo hao
 
ntafurahi sana nikisikia Kibonde wa Cluds FM kawa waziri wa mambo ya katiba
 
Sisiemu siwapendi sana lakini Mh.6 namkubari akipewa uwaziri mkuu Mwake.Nitafurahi sana

Magufuri akikosa uwaziri nitashangaa sana

Wanawake wakizidi watatu kwenye Baraza zima nitachukia sana (Napenda wawe wawili tu au mmoja.)
 

nakubaliana na wewe jamaa kwenye utendaji yuko vizuri,pia alionyesha uwajibikaji baada ya kashfa ya RICHMOND.but sina uhakika kama hatajihusisha na ufisadi mwingine.
 
Nitashangaa sana wafuatao wakirudishwa kwenye baraza la mawaziri kutokana na udhaifu wao: sophia simba, juma kapuya, william ngeleja, hawa ghasia, jumanne maghembe, mustafa mkullo,
 
Lowasa, rostam watu waliochangia asilimia kubwa kutafuna keki ya taifa kwa ubinafsi na kuiweka gvt mfukoni, sofia simba upeo wake mdogo mno, Hawa ntafurahi pombe magufuli sote tunamjua, mwakyembe ameonyesha kazi nzuri na tume ya richmomd iliyomshinda hosea.
Kilango na sendeka wabaki kawaida kuchangamsha bunge
Mwisho hosea aondolewe pccb
 
Huu utaratibu mzima wa kuteua wabunge kuwa mawaziri bado unanishangaza sana kwa nchi yenye matatizo ya utawala bora kama Tanzania ya leo.
Nasubiri kulishangaa baraza zima kwa ujumla.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…