Lowasa, Chenge, Rostam, Sofia, Ghasia, Kawambwa, Burian, Mkulo, Ngeleja, Mahanga..nitashangaa na kusikitika sana
Haa haaa haaa! hata huyu? Hivi amepigana ngumi mara ngapi akiwa MB?..., Ole sendeka miundombinu,...
ila Magufuli, Mwakyembe........ wakikosa nitasikitika sana
juma nkamia akichukua nafasi ya joel bendera, itakuwa poa.
Ole Sendeka na failure yake ya F6 ataweza kumeet requirements kweli? Labda awe ameungaunga hadi chuo naye waweza kuta ana PHD ka ya Kaka mkubwa!Natamani kama baraza la mawaziri litakuwa hivi Magufuli PM. Sitta utawala bora, Ane Kilango mambo ya ndani, Mwakyembe mali asili na utalii, Ole telele ulinzi, Ole sendeka miundombinu, Mwandosya nishati na madini, Lucas Selelii Kilimo na chakula
Bula unafiki salama ya awamu ya nne ni kumrejesha edward ngoyai lowasa kitini wakamilishe zoezi la kuijenga awamu hii angalau legacy ionekane vema.
Mengji? Siendi kazini wiki moja!Uwaziri hausomewi bwana..... Vicky kamata naibu waziri wa fedha na megiji full waziri wa fedha tena!
Hapa Mkuu Tupo pamoja, Hiyo kauli nimekuwa nawaambia watu wengi sana , na Kipindi hiki ndio mtaona rangi halisi ya JK.Pinda kutupwa nje ya u_PM
Magufuli OUT
Sitta OUT
January Makamba IN
Hakika hili nalitegemea, ila nahisi nitashindwa kuvumila, nahisi nitalia na kuumia kupita kiasi. But am sure JK has nothing to lose..... coz he has alredy achieved what he wanted 2010 -2015. Mungu tusaidie.
Huyo anayesema Tibaijuka anamjua vizuri? Unajua kwanini katoka UN habitat? msikurupuke kushabikia tu unajua haya mambo lazima kufanyia uchunguzi kwanza. Tusije tukaweka vinyonga baabdaye wakatugeuzia rangi
Huyo anayesema Tibaijuka anamjua vizuri? Unajua kwanini katoka UN habitat? msikurupuke kushabikia tu unajua haya mambo lazima kufanyia uchunguzi kwanza. Tusije tukaweka vinyonga baabdaye wakatugeuzia rangi