Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

Serikali sikivu ya Wanyonge
 
Viongozi wa UTOPOLO.
itakuwa walisoma upepo WA SAA 11.
Sasa walipobadilishiwa wakachanganyikiwa.
Maana mganga alipiga RAMLI ya saa 11 wangeshinda
 
TII MAMLAKA ZILIZO JUU YAKO.
sasa hivi MMEANZA KUDEKA.
Huyu mama anawadekeza Sana.
Yaani mnagoma?.
Mmeota mapembe sasa.
TFF Kula kichwa HAO UTOPOLO
Bi mkubwa atutake radhi kwanza ikiwezekana ainame masaa mawili kama yule waziri wa japana sijui kuomba radhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…