Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

Nani Alaumiwe kwa Hasara Watanzania Waliyoingia Leo?

Mwinyi kapewa Benz la kazi gani?
Hujui kazi aliyofanya mzee Mwinyi katika nchi hii? Ndio maana Hayati Magufuli alisema somo la historia ya Tz ifundishwe kama somo la lazima. Bila Mwinyi pengine ungekuwa kijijini kwenu umevaa majani ya migomba unasikiliza radio ya 277
 
Ni sawa mkuu lakini wao wametumia kifungu cha sheria na labda wana sababu zao kwanini wamegomea mechi.
That's why nimesema Yanga wamefata sheria na hawana kosa ila viongozi wake hawana busara maana kwa ukubwa wa Yanga kusogeza masaa mawili sidhani kama ni shida kinachotokea siku Yanga na wao watakapofanya kosa TFF na bodi ya ligi inaweza kuwaadhibu vibaya kwa kutumia sheria hizo ambapo labda na wao TFF kama wasipotumia busara
 
Huyu mama ni bureeeh tyuuh, mie nilimuona tangu bunge la katiba, hata sijui vipi aliaminiwa na JPM kua mgombea mwenza, na kuwa makamu wa Rais lol.
 
Hapa sijui pa kulala jiji hili, nimetoka Kigoma kwa Treni leo hii mechi imeahirishwa ? Sijui kiingilio changu ningetoa kama sadaka basi ningepata swawabu ,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mama ni bureeeh tyuuh, mie nilimuona tangu bunge la katiba, hata sijui vipi aliaminiwa na JPM kua mgombea mwenza, na kuwa makamu wa Rais lol.
Unasema? Ila mnaweza kuwa mnamlaumu mama ila ikawa sio yeye.
 
That's why nimesema Yanga wamefata sheria na hawana kosa ila viongozi wake hawana busara maana kwa ukubwa wa Yanga kusogeza masaa mawili sidhani kama ni shida kinachotokea siku Yanga na wao watakapofanya kosa TFF na bodi ya ligi inaweza kuwaadhibu vibaya kwa kutumia sheria hizo ambapo labda na wao TFF kama wasipotumia busara
Ila mwisho wa siku lazima sheria mkondo wake. Vipi kwa makosa haya TFF na Bodi ya Ligi wawajibishwe na FIFA?
 
Viongozi wa UTOPOLO.
itakuwa walisoma upepo WA SAA 11.
Sasa walipobadilishiwa wakachanganyikiwa.
Maana mganga alipiga RAMLI ya saa 11 wangeshinda
I'd muda mwingine huwa zinabeba akili ya mtu
 
Soma Kwanza hizo taarifa mbili Kwa makini
Hapana kosa la TFF ni kutowashirikisha Simba na Yanga
Screenshot_20210508-142219.jpg
Screenshot_20210508-155830.jpg
 
Back
Top Bottom