Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kazi aliyofanya mzee Mwinyi katika nchi hii? Ndio maana Hayati Magufuli alisema somo la historia ya Tz ifundishwe kama somo la lazima. Bila Mwinyi pengine ungekuwa kijijini kwenu umevaa majani ya migomba unasikiliza radio ya 277Mwinyi kapewa Benz la kazi gani?
La kuzeekeaMwinyi kapewa Benz la kazi gani?
That's why nimesema Yanga wamefata sheria na hawana kosa ila viongozi wake hawana busara maana kwa ukubwa wa Yanga kusogeza masaa mawili sidhani kama ni shida kinachotokea siku Yanga na wao watakapofanya kosa TFF na bodi ya ligi inaweza kuwaadhibu vibaya kwa kutumia sheria hizo ambapo labda na wao TFF kama wasipotumia busaraNi sawa mkuu lakini wao wametumia kifungu cha sheria na labda wana sababu zao kwanini wamegomea mechi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawapa hasara Mpira wa leo pia kawapa hasara kwa kugawa Benz la ml450 utafikiri mwanae alishindwa kulinunua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa sijui pa kulala jiji hili, nimetoka Kigoma kwa Treni leo hii mechi imeahirishwa ? Sijui kiingilio changu ningetoa kama sadaka basi ningepata swawabu ,[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Unasema? Ila mnaweza kuwa mnamlaumu mama ila ikawa sio yeye.Huyu mama ni bureeeh tyuuh, mie nilimuona tangu bunge la katiba, hata sijui vipi aliaminiwa na JPM kua mgombea mwenza, na kuwa makamu wa Rais lol.
Ila mwisho wa siku lazima sheria mkondo wake. Vipi kwa makosa haya TFF na Bodi ya Ligi wawajibishwe na FIFA?That's why nimesema Yanga wamefata sheria na hawana kosa ila viongozi wake hawana busara maana kwa ukubwa wa Yanga kusogeza masaa mawili sidhani kama ni shida kinachotokea siku Yanga na wao watakapofanya kosa TFF na bodi ya ligi inaweza kuwaadhibu vibaya kwa kutumia sheria hizo ambapo labda na wao TFF kama wasipotumia busara
I'd muda mwingine huwa zinabeba akili ya mtuViongozi wa UTOPOLO.
itakuwa walisoma upepo WA SAA 11.
Sasa walipobadilishiwa wakachanganyikiwa.
Maana mganga alipiga RAMLI ya saa 11 wangeshinda
Wapelekwe FIFAIla mwisho wa siku lazima sheria mkondo wake. Vipi kwa makosa haya TFF na Bodi ya Ligi wawajibishwe na FIFA?
I'd muda mwingine huwa zinabeba akili ya mtu
Wapelekwe FIFA
Hey, watch out, kumbuka unamuongelea Rais hapa, raisi ni taasisi kubwa ndugu.Bi mkubwa atutake radhi kwanza ikiwezekana ainame masaa mawili kama yule waziri wa japana sijui kuomba radhi
Hapana kosa la TFF ni kutowashirikisha Simba na YangaKwa kuwa ni mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda?
Hapana kosa la TFF ni kutowashirikisha Simba na Yanga
Sio yeye sasa nani? Ni yeye huyu mama, hatufai.Unasema? Ila mnaweza kuwa mnamlaumu mama ila ikawa sio yeye.
Kwakuwa wanachanganya mpira na siasa.Kwa kuwa ni mechi ya Kwanza kusogezwa mbele muda?
Hahaha kwamba maagizo yalitoka kwake mkuu?Sio yeye sasa nani? Ni yeye huyu mama, hatufai.