Nani aliandika wimbo wa "Alikufa kwa ngoma".

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa mwingne. Sijui hizi story ni za kweli, mwenye uelewa zaidi anisaidie.
 
Hiyo ngoma ni kweli aisee FA alichorewa na jamaa mmoja wa kundi la waswahili anaitwa Master P au Faza P kama sijakosea. Na huyo jamaa ndo alikuwa anachora nyimbo zote za kundi lao la waswahili kama vile "pengo ","wazo la leo", "kila mtu na starehe yake" n.k
 
Ule wimbo aliandikiwa na Jafari Mselemu aka Faza Ghetto, yeye ndiye aliekuwa anategemea beats zote kipindi hiyo pale Bongo Record kwa Majani. Na kama unaamini hii story we gonga like tu hapo chini, na nina uhakika wewe utaamini kitu chochote kile cha kuambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…