kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa mwingne. Sijui hizi story ni za kweli, mwenye uelewa zaidi anisaidie.