Nani aliandika wimbo wa "Alikufa kwa ngoma".

Chanzo Cha Mabaya ni Pesa na Wasichana Chunga Sana Alishasema Salu T.
 
Hapana sipo huko mkuu, collateral ni dhamana ya mkopo wako, yani unaweka nini ili upate mkopo? just in case ukishindwa kurudisha, mkopeshaji anachukua kucover costs zake. Yawezakua ni nyumba,Gari etc
Nilisikia kwamba dhamana inabidi iwe immovable property. Sasa hapo kwenye gari ni sawa kweli ?
 
Nilisikia kwamba dhamana inabidi iwe immovable property. Sasa hapo kwenye gari ni sawa kweli ?
Yes ni kweli immovable properties ni assurance zaidi,kwani mkopeshaji anajiepusha na risks on default loans.

Lakini inategemea na mkopo wenyewe, unajua kuna aina 2 za mkopo ,kuna long term loan and short term loan, long term loan is of more than a year in its maturity and vice versa for the short term loan.pia long term loan ni mkopo Mkubwa zaidi kuliko short term loan

Ukichukua mkopo na mkakubaliana kuulipa ndani ya mwaka au miezi ,security yake yaweza kuwa Gari japo ni movable au hata cash flows yako tu, kwani tunaexpect ni mkopo Mdogo tu huwezi kushindwa na ikitokea ukazingua inauzwa Gari faster[emoji3]
 
Hapo le madame la financiale hudumaz nimekupata vyema kabisa
 
Naona upo uwanja wa nyumbani hapa.
 
Uncle shamte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…