kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
- #41
Lugha gani hiyo mkuu?unauliza for who's benefit?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha gani hiyo mkuu?unauliza for who's benefit?
Nilisikia kwamba dhamana inabidi iwe immovable property. Sasa hapo kwenye gari ni sawa kweli ?Hapana sipo huko mkuu, collateral ni dhamana ya mkopo wako, yani unaweka nini ili upate mkopo? just in case ukishindwa kurudisha, mkopeshaji anachukua kucover costs zake. Yawezakua ni nyumba,Gari etc
Yes ni kweli immovable properties ni assurance zaidi,kwani mkopeshaji anajiepusha na risks on default loans.Nilisikia kwamba dhamana inabidi iwe immovable property. Sasa hapo kwenye gari ni sawa kweli ?
Hapo le madame la financiale hudumaz nimekupata vyema kabisaYes ni kweli immovable properties ni assurance zaidi,kwani mkopeshaji anajiepusha na risks on default loans.
Lakini inategemea na mkopo wenyewe, unajua kuna aina 2 za mkopo ,kuna long term loan and short term loan, long term loan is of more than a year in its maturity and vice versa for the short term loan.pia long term loan ni mkopo Mkubwa zaidi kuliko short term loan
Ukichukua mkopo na mkakubaliana kuulipa ndani ya mwaka au miezi ,security yake yaweza kuwa Gari japo ni movable au hata cash flows yako tu, kwani tunaexpect ni mkopo Mdogo tu huwezi kushindwa na ikitokea ukazingua inauzwa Gari faster[emoji3]
Naona upo uwanja wa nyumbani hapa.Yes ni kweli immovable properties ni assurance zaidi,kwani mkopeshaji anajiepusha na risks on default loans.
Lakini inategemea na mkopo wenyewe, unajua kuna aina 2 za mkopo ,kuna long term loan and short term loan, long term loan is of more than a year in its maturity and vice versa for the short term loan.pia long term loan ni mkopo Mkubwa zaidi kuliko short term loan
Ukichukua mkopo na mkakubaliana kuulipa ndani ya mwaka au miezi ,security yake yaweza kuwa Gari japo ni movable au hata cash flows yako tu, kwani tunaexpect ni mkopo Mdogo tu huwezi kushindwa na ikitokea ukazingua inauzwa Gari faster[emoji3]
Hahaa si unajua tena wanasema mbuzi kafia Kwa muuza supu [emoji3] [emoji3] lazima kielewekeeNaona upo uwanja wa nyumbani hapa.
Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa mwingne. Sijui hizi story ni za kweli, mwenye uelewa zaidi anisaidie.
Haya dada, endelea kutema nondo.Hahaa si unajua tena wanasema mbuzi kafia Kwa muuza supu [emoji3] [emoji3] lazima kielewekee
Lugha gani hiyo mkuu?