Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ndio unatarajia kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani kasema ujumbe haukufika?Ila ujumbe si ulifika, atajua mwenyewe kama aliandikiwa or not "hakuonekana na binti.... Lkn alikufa Kwa ngoma"
HuelwekiUle wimbo aliandikiwa na Jafari Mselemu aka Faza Ghetto, yeye ndiye aliekuwa anategemea beats zote kipindi hiyo pale Bongo Record kwa Majani. Na kama unaamini hii story we gonga like tu hapo chini, na nina uhakika wewe utaamini kitu chochote kile cha kuambiwa.
Wimbo huu ni wa Lady Jay Dee ila?kamshirikisha mwwna faNimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na p mwingne. Sijui hizi story ni za kweli, mwenye uelewa zaidi anisaidie.
Big NO.Wimbo huu ni wa Lady Jay Dee ila?kamshirikisha mwwna fa
Big yes ni ipi??Big NO.
KaitafuteBig yes ni ipi??
Siuniambie??Kaitafute
Kwan tatizo lako ni nini? Haya hayakuhusu wewe sikiliza wimbo sepaNimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa mwingne. Sijui hizi story ni za kweli, mwenye uelewa zaidi anisaidie.
Kwahiyo mnamtafuta aliyeandika ili mumpe Tuzo ama? Au unataka akuandikie piaKwani nani kasema ujumbe haukufika?
Hahaaa, maelezo hayajakamilika, njoo uchukue ila uje with details hasa hasa (collateral yako) [emoji3] [emoji3]Nina shida ya hela!
Nataka aniandikie na mmKwahiyo mnamtafuta aliyeandika ili mumpe Tuzo ama? Au unataka akuandikie pia
Haupo Arusha? Collateral ndo Nini?Hahaaa, maelezo hayajakamilika, njoo uchukue ila uje with details hasa hasa (collateral yako) [emoji3] [emoji3]
I got you kifimbo cheza. Ila hiyo sauti yako kwenye uimbaji mmh, kila rakherii lkn[emoji3]Nataka aniandikie na mm
Hapana sipo huko mkuu, collateral ni dhamana ya mkopo wako, yani unaweka nini ili upate mkopo? just in case ukishindwa kurudisha, mkopeshaji anachukua kucover costs zake. Yawezakua ni nyumba,Gari etcHaupo Arusha? Collateral ndo Nini?
Asante mkuu..Hapana sipo huko mkuu, collateral ni dhamana ya mkopo wako, yani unaweka nini ili upate mkopo? just in case ukishindwa kurudisha, mkopeshaji anachukua kucover costs zake. Yawezakua ni nyumba,Gari etc
Aaah kumbe complex ndo alichora hii mistari?
unauliza for who's benefit?Nimepita kitaa kimoja nikakuta wana wanabishana kubusu ule wimbo wa Mwanana FA unaoitwa alikufa kwa ngoma. Kuna mwana alikuwa anadai kuwa ule wimbo FA aliimba tu but mistari ilichorwa na jamaa mwingne. Sijui hizi story ni za kweli, mwenye uelewa zaidi anisaidie.
balozi dulla sosi saygon na mike Tkatungiwa sana na kina imam abas