Ok. So maana yake ni nzuri tu au inatumika isivyo? Why sisi tuwaige Wakenya na tusitumie tu maneno kama "Hayati" au "Marehemu"Wakenya Ndio wanalitumia hili neno 'Mwendazake ' wakimaanisha mtu alieaga dunia.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Umenitoa tongotongo mkuu.Wakenya hao Marehemu ndio aitwa hivyo.
Na huku kweli limepata umaarufu kwakuwa stesheni nyingi za Kenya, zilikuwa zinafuatilia na kutangaza sana msiba wa Hayati Magufuli na walikuwa hawasemi Hayati ila Mwendazake.
Ila bado sijajua nini tofauti ya Marehemu na Hayati, Maana Uhuru Kenyatta pale Dodoma alisema "Marehemu Hayati John Pombe Magufuli"
Waiteeeeeeee!!! Kweli bangi inawafaa Marasta pekeeπΆπΆπΆKwa mujibu wa wakenya,
HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.
Kama ndivyo sasa Mwendazake wetu huku inakuwaje aitwe hivyo?Kwa mujibu wa wakenya,
HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.
The VotesRiggerPhase? Nayo pia niliifungua baada ya kupigwa ban ingine!Duh, ulikuwa unashinda jukwaa gani mbona kama sijawahi kutanna nayo
Angalia na hii niipige BAN nakufuatilia kila comment inaonekana ni mtukutu saanaThe VotesRiggerPhase? Nayo pia niliifungua baada ya kupigwa ban ingine!
Ni kiswahili cha Kenya. Kenya ndilo hutumika zaidi kuliko marehemu au hayati.. Ni pure KENYAN.Mtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?
Acha bhana! Sasa si hata hiyo ya the VotesRigger ungeiachia jamaaaaaa!Angalia na hii niipige BAN nakufuatilia kila comment inaonekana ni mtukutu saana
Nafuatilia nyendo zako kwanzaAcha bhana! Sasa si hata hiyo ya the VotesRigger ungeiachia jamaaaaaa!
Kwa mujibu wa wakenya,
HAYATI: A dead person who's left behind alot of wealth/ assets.
MAREHEMU: Is a dead person who has left lots of bills and is also listed by the CRB for loan defaulting.
MWENDAZAKE: This one, there's little to write about him. Alizaliwa, aka zururazurura aka gongwa na gari aka akafa.
Kumbe! Sasa tuonane basi pale Nyantare Tabata tupige kilaji kidogo!Nafuatilia nyendo zako kwanza
Hapo sawa ntakuja weekend, la tablet yangu nipost ujinga utakaoufanya ukilewa, halafu nakuBAN hapohapo BAR hata kama hujapost kitu π πKumbe! Sasa tuonane basi pale Nyantare Tabata tupige kilaji kidogo!
Hayati ni mtu mwenye wadhifa wa fedha au cheo ,kifo chake kinagusa watu wengi sanaNa huku kweli limepata umaarufu kwakuwa stesheni nyingi za Kenya, zilikuwa zinafuatilia na kutangaza sana msiba wa Hayati Magufuli na walikuwa hawasemi Hayati ila Mwendazake.
Ila bado sijajua nini tofauti ya Marehemu na Hayati, Maana Uhuru Kenyatta pale Dodoma alisema "Marehemu Hayati John Pombe Magufuli"
Nashukuru kiongoziHayati ni mtu mwenye wadhifa wa fedha au cheo ,kifo chake kinagusa watu wengi sana
Marehemu ni watu tabaka la kati,kifo chake kinagusa watu wengi hasa wa karibu yake au waliowah kuwa karibu nae.
Mwendazake ni mtu aliyekufa kifo cha kijinga tu,na life lake lilikuwa la hovyo hovyo yani kero kwa wengine,hata kifo chake hakiachi alama moyon kwa watu
ππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kwa maana hiyo HAYATI ni yule anaezungushwa na kuwekwa uwanjani ili watu wamuangalie kwa wiki kama Viongozi wengi
Hapo kwa Mwendazake umeniacha hoi
Nadhani hili jina pia lina muhusu mtu ambaye amefariki bila kutimiza ndoto zakeKama ndivyo sasa Mwendazake wetu huku inakuwaje aitwe hivyo?
Wa kikuyu ndio watumizi wa kubwa wa huo msamiati..ila sisi wa Tz ni ma zero kweli....miaka 3 nyuma Sauzi wali sign dili na kenya kupeleka walimu wa kiswahil Sauz wa Tz waka paza sauti wakidai siiai ndio waasisi na manguli wa kiswaMtanzania aliyeasisi hili jina je alikuwa na maana gani? Linapotajwa jina hili je ni kwa nia iliyo njema au vinginevyo? Kama aliyelianzisha jina hili yupo humu hebu atueleze alikuwa na maana gani?