Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Nimekuwa nikijiuliza Sana swali hili kwamba ni nani aliclassify majina haya kiasi ambacho mwanaume akiitwa Rachel au Diana kuwa ni kosa au mwanamke kuitwa juma au Gabriel ni kosa. Au muislam kuitwa John au mkristo kuitwa Abdul kwamba eti nalo ni kosa.
Mi navyojua wewe kuitwa flani labeling tu ambayo ili usipotee. Sasa inakuwaje jina flani ni haraam na jingine ndo linafaa.
Mi navyojua wewe kuitwa flani labeling tu ambayo ili usipotee. Sasa inakuwaje jina flani ni haraam na jingine ndo linafaa.