Nani alieshinda pesa nyingi M-Bet

Binafsi nimewahi kupata 169237/= kwa buku.Elf 60,32000/,22657 na vielf kumi kumi ni vya kawaida though NIPO KTK GAME KITAMBO NA VIPIGO NAVYO VIPO VYA KUTOSHA!
Jmosi nimeongeza 70,867/= kwa buku jana kaponea kwa liverpool.NJE YA HAPO 356915/ingekuwa ktk m pesa muda huu
 
Binafsi nimewahi kupata 169237/= kwa buku.Elf 60,32000/,22657 na vielf kumi kumi ni vya kawaida though NIPO KTK GAME KITAMBO NA VIPIGO NAVYO VIPO VYA KUTOSHA!

hongera yako daa. kula raha kuliwa ndo keroo
 
Nmemla mara 2 hela za madafu yy kanila labda lk5
 
mara ya mwisho nilmla muhind 24,700/= tu Kilicho fuata hapo lol n siri yngu na buku zng
 
Yeah ukiingia ktk play over/ under.SEMA GAME ZOTE UNAZOCHAGUA ZITAPASWA KUWA KTK MFUMO HUO TU.EITHER Over au under.Over 2.5goals ndio hyo kuanzia 3 goals na kuendelea .
 
mimi nilikula elfu 16 ila ukihesabu vibukubuku vilivyoliwa vinaweza kununua kiwanja na mifuko 120 ya sementi,

bado nina ndoto ya kurudisha ela yangu
 
Bet za buku buku tunazofanya sahau kabisa kula pesa ya maana
 
mimi nilikula elfu 16 ila ukihesabu vibukubuku vilivyoliwa vinaweza kununua kiwanja na mifuko 120 ya sementi,

bado nina ndoto ya kurudisha ela yangu

pole sana ndg yang nacheka kwa ila naona uchungu. usiwaze IPO cku tutapga Mzigo mkubwa tuu.
 
Sometime i win sometime i lose mf leo niliweka 50 mechi over gamba osaka vs jeonbuk na fc guongan na changtan yatai kishapigwa 151000
 
Kuna waliokula pesa kwa platform nyingine pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…