God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nilipata milioni 12, tano na juzi tu nimevuta m9
Binafsi nimewahi kupata 169237/= kwa buku.Elf 60,32000/,22657 na vielf kumi kumi ni vya kawaida though NIPO KTK GAME KITAMBO NA VIPIGO NAVYO VIPO VYA KUTOSHA!
Hivi Wanayo Option Ya 3+?mara ya mwisho nilmla muhind 24,700/= tu Kilicho fuata hapo lol n siri yngu na buku zng
mimi nilipata milioni 12, tano na juzi tu nimevuta m9
mimi nilikula elfu 16 ila ukihesabu vibukubuku vilivyoliwa vinaweza kununua kiwanja na mifuko 120 ya sementi,
bado nina ndoto ya kurudisha ela yangu
Bet za buku buku tunazofanya sahau kabisa kula pesa ya maana
mimi nilipata milioni 12, tano na juzi tu nimevuta m9