edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No...Roman Empire ndiyo ilianza kutumia sarafu kama means of exchange.
Duuu ya duniani haya yaumiza kichwaaaUkifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...
Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+,Hii ni baada ya mapinduzi ya viwanda.
Na nimeambiwa waingereza ndio taifa la kwanza kuanza kutumia pesa...
Lakini napatwa na ukakasi juu ya hizo za kisomi ambazo wengi humu jf mnaziamini baada ya kudanganywa na wazungu...
Hoja yangu ya msingi ni kwamba ukifuatilia mtazamo wa kidini mfano biblia ukifuatilia kitabu cha luka19 utakutana na jina la mtoza ushuru Zakayo kumbuka alikuwa anatoza pesa..ukimsoma zakayo anaelezwa alikuwa tajiri wa Mali na pesa..
Pia Qurani inameeleza kiunaga ubaga kuhusu dhambi ya riba surah Al baqarah 2 surah 275 utaona dhambi ya riba...
Hivi vitabu vilianza kabla ya 1870+ swali la msingi kwann wazungu wanatudanganya?
Middle east ndio walianza kutumia pesa au mmesahau yuda alimsaliti yesu kwa vipande30 vya pesa?
Katika hili lazima tutafakari na kupeana majibu ya maana....
Karibu tujadili pamoja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa kimsingi ni kitu ambacho jamii fulani imekubaliana kuwakilisha thamani wakati wa kununua au kuuza bidhaa na huduma au kuhifadhi Mali. Thamani ya pesa haipo katika yenyewe Bali katika fikra za watumiaji wake.
Binadamu wa kwanza hakutumia pesa, na jamii ya kwanza ya wakulima katika Agricultural Revolution hakutumia pesa mwanzoni, bali walitumia barter trade yaani kubadilishana Mali kwa Mali. Lakini baada ya kazi kuimarika na miji kujengeka na watu Kuwa na specialization ubadilishanaji wa bidhaa ulikuwa mgumu kutokana na ugumu wa kuthaminisha bidhaa moja na bidhaa nyingine.
Kutokana na hilo ndipo ilipoanza pesa katika aina mbalimbali kama simbi (shells), Sarafu, ngozi, chumvi, Shanga, noti nk. Simbi zimetumika hapa Afrika Mashariki na pengine duniani kwa zaidi ya miaka 4000.
Pesa ya kwanza inasemekana iliundwa mnamo mwaka 3000 BC, huko Mesopotamia ikiitwa Shekeli ambapo shekeli moja ilikuwa sawa sawa na Gramu 8 za Silver. Na Sarafu ya,kwanza iliundwa Miaka ya 640 BC na Mfalme Alyates huko Lydia Anatolia ndio Sarafu iliyokuwa na chapa ya kiasi cha madini pamoja na mamlaka iliyotoa Sarafu hiyo, kawaida ilikuwa katika madini ya silver na dhahabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam ilikuwa inaitwa Barter Trade.Mimi ninavyojua kwanza ilianza biashara yakubadilishana vitu kwa vitu. Baadae mwingereza akafikilia atengeneze kitu ambacho kitamiliki vitu vyote .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...
Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+,Hii ni baada ya mapinduzi ya viwanda.
Na nimeambiwa waingereza ndio taifa la kwanza kuanza kutumia pesa...
Lakini napatwa na ukakasi juu ya hizo za kisomi ambazo wengi humu jf mnaziamini baada ya kudanganywa na wazungu...
Hoja yangu ya msingi ni kwamba ukifuatilia mtazamo wa kidini mfano biblia ukifuatilia kitabu cha luka19 utakutana na jina la mtoza ushuru Zakayo kumbuka alikuwa anatoza pesa..ukimsoma zakayo anaelezwa alikuwa tajiri wa Mali na pesa..
Pia Qurani inameeleza kiunaga ubaga kuhusu dhambi ya riba surah Al baqarah 2 surah 275 utaona dhambi ya riba...
Hivi vitabu vilianza kabla ya 1870+ swali la msingi kwann wazungu wanatudanganya?
Middle east ndio walianza kutumia pesa au mmesahau yuda alimsaliti yesu kwa vipande30 vya pesa?
Katika hili lazima tutafakari na kupeana majibu ya maana....
Karibu tujadili pamoja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ni nembo iliyokubalika na jamii husika kuwa media(njia) ya manunuzi ya bidhaa nakadhalika. Nembo hiyo inaweza kuwa chuma,shaba, karatasi, bronze, hata kitu chochote kile. Mfano zaman falme mbalimbali zilitumia shaba, chuma (ina kuwa na muundo maalum sio yoyt) katiba ununuzi. Kutumia madini hayo katika ununuzi ilitegemeana na upatikanaji wake, (kuadimika) . Kwahyo toka zaman pesa ilikuwepo (currency) . Ila imezidi kubadilika kulingana na maendeleo ya mwanadam, yaan ikawa modified kulingana na nyakati mbalimbali mpk leo!! Si ajabu huko mbeleni pesa za sarafu na not tunazotumia leo zikatoweka na kuja zingineUkifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...
Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+,Hii ni baada ya mapinduzi ya viwanda.
Na nimeambiwa waingereza ndio taifa la kwanza kuanza kutumia pesa...
Lakini napatwa na ukakasi juu ya hizo za kisomi ambazo wengi humu jf mnaziamini baada ya kudanganywa na wazungu...
Hoja yangu ya msingi ni kwamba ukifuatilia mtazamo wa kidini mfano biblia ukifuatilia kitabu cha luka19 utakutana na jina la mtoza ushuru Zakayo kumbuka alikuwa anatoza pesa..ukimsoma zakayo anaelezwa alikuwa tajiri wa Mali na pesa..
Pia Qurani inameeleza kiunaga ubaga kuhusu dhambi ya riba surah Al baqarah 2 surah 275 utaona dhambi ya riba...
Hivi vitabu vilianza kabla ya 1870+ swali la msingi kwann wazungu wanatudanganya?
Middle east ndio walianza kutumia pesa au mmesahau yuda alimsaliti yesu kwa vipande30 vya pesa?
Katika hili lazima tutafakari na kupeana majibu ya maana....
Karibu tujadili pamoja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...
Nimefuatilia kwa wasomi wanasema pesa imeanza kutumika kuanzia Miaka ya 1870+, Hii ni baada ya mapinduzi ya viwanda.
Na nimeambiwa waingereza ndio taifa la kwanza kuanza kutumia pesa
Lakini napatwa na ukakasi juu ya hizo za kisomi ambazo wengi humu jf mnaziamini baada ya kudanganywa na wazungu...
Hoja yangu ya msingi ni kwamba ukifuatilia mtazamo wa kidini mfano biblia ukifuatilia kitabu cha luka19 utakutana na jina la mtoza ushuru Zakayo kumbuka alikuwa anatoza pesa..ukimsoma zakayo anaelezwa alikuwa tajiri wa Mali na pesa
Pia Qurani inameeleza kiunaga ubaga kuhusu dhambi ya riba surah Al baqarah 2 surah 275 utaona dhambi ya riba...
Hivi vitabu vilianza kabla ya 1870+ swali la msingi kwanini wazungu wanatudanganya?
Middle East ndio walianza kutumia pesa au mmesahau Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande30 vya pesa?
Katika hili lazima tutafakari na kupeana majibu ya maana
Karibu tujadili pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Middle East ndio walianza kutumia pesa au mmesahau Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande30 vya pesa?Ukifuatilia dhana ya kidunia utagundua kuna uongo mkubwa sana juu ya matumizi na kuanzishwa kwa pesa...