Nani alihusika katika haya mauaji yenye utata??.

Nani alihusika katika haya mauaji yenye utata??.

mzee wa miba

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
759
Reaction score
125
Mauaji ya Moringe Sokoine, Horace Korimba, Dr.Mvungi, Daudi Mwangosi, na wengine ambao siwakumbuki naomba uwataje hapa chini.
 
Mauaji ya Moringe Sokoine, Horace Korimba, Dr.Mvungi, Daudi Mwangosi, na wengine ambao siwakumbuki naomba uwataje hapa chini.

Dr.Mvungi rejea zile email za mwigulu na Mchimbi,Mwangosi kauliwa na Polisi,Kolimba Sumu kwenye mic,Sokoine ajali ya kutengenezwa! Source;JF
 
Uko nchi gani kwanza yawekana ukawa haujui et?
 
Professor Jwani Mwaikusa.
Nakumbuka vitabu vyake vya ushairi nilivisoma O-level.
Nahisi kuna mkono wa Kagame kwenye kifo chake kwa sababu alikuwa wakili wa watuhumiwa mauaji ya kimbari Rwanda katika mahakama ya ICTR kule Arusha.
Nilisikitika sana mtu ambaye amekuwa 'mentor' kwangu anakufa kwa 'upanga'.
RIP Prof Jwani Mwaikusa.
 
Back
Top Bottom