Nani aliiba idea ya mwenzake, Mwana FA au Jay Mo?

Ikiisha njoo uulize ngoma hizi za Nature na Temba.

Mtoto Iddi kazua balaa::Juma Nature
Amekoma:: Mh Temba.

I
 
Ikiisha njoo uulize ngoma hizi za Nature na Temba.

Mtoto Iddi kazua balaa::Juma Nature
Amekoma:: Mh Temba.

I
Tuambie mkuu nao walikuwa na bifu au
 
Reactions: 1gb
Mkuu shukran sana umenifanya nijue baadhi ya mistari ya hii ngoma cz huwezi amini hii ngoma nlikuwa naizimia sn na mwana fa ngoma zake nyng nlikuwa nazijua ila hii noma, kuna baadhi ya mistari nlikuwa naongopa tu [emoji122][emoji122][emoji3]
 
Cku hizi mistari kwakweli hakuna, tukisema hawa wanaoimba na kuchana cku hz wamebaki matusi tu, huwa wanakataa, hebu angalieni mistari ilivyo migumu hii, dadadeki anaytwa Juma Mchopanga Jay Mo a.k.a Mo techniques salute mkuu
 
Ni tofauti ila idea ni moja (kutaja madem waliokuwa wanasumbua mjini wakati huo), na hizi ngoma zilitoka wakati mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa upande wng hz ngoma cwez kuchagua ipi ilikuwa bora zaidi ya nyngne mana zote kali na huwa znanifariji sn nkickiliza cz kuna mazingira huwa nayakumbuka huwa nackia raha yn kwng huwa ni km time travel, yn huwa yananirudisha nyuma sn kimawazo enzi hizo shule ya msingi daaahhh, japo mm nilikuwa nampenda sana FA (ECT), lkn ckuwahi kumkosea heshima Jay Mo hata cku moja cz cku zote amekuwa na ideas tofauti na wengine yn jamaa ni genius kwny career yake kwakweli.
 
Cku hizi mistari kwakweli hakuna, tukisema hawa wanaoimba na kuchana cku hz wamebaki matusi tu, huwa wanakataa, hebu angalieni mistari ilivyo migumu hii, dadadeki anaytwa Juma Mchopanga Jay Mo a.k.a Mo techniques salute mkuu

Usiishie tu kuappreciate mistari migumu, rudi nyuma uone walivyoandika walikuwa na umri gani.?

Ni vipaji halisi kwa kweli.
 
Kwenye hii ngoma kiukweli kipenzi changu FA aligalagazwa na Mchopanga [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Usiishie tu kuappreciate mistari migumu, rudi nyuma uone walivyoandika walikuwa na umri gani.?

Ni vipaji halisi kwa kweli.
Sure kabisa mkuu, ndo mana huwa nasema dogo Aslay ndio kizazi kilichopita ambacho kipo ss, yn hawa waimbaji wetu wa ss ukitoa Aslay nyimbo zao nyingi znabebwa na videos ila km ingekuwa ndo km enzi zile nyimbo nyng zingebuma
 
Si unaona wadau wametoa jibu hapo juu, FA mjanjamjanja so sio ajabu kumzunguka jamaa[emoji1], JayMoe hanaga tatizo na mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah Jaymoe hajawahi kuwa snitch, jamaa tng anaanza mpk ss yuko vile vile habani pua wala hana za kusema cjui anaenda na wkt ila anaruka nao na wanaelewa, that's the real definition of h.i.p h.o.p
 
Cku hizi mistari kwakweli hakuna, tukisema hawa wanaoimba na kuchana cku hz wamebaki matusi tu, huwa wanakataa, hebu angalieni mistari ilivyo migumu hii, dadadeki anaytwa Juma Mchopanga Jay Mo a.k.a Mo techniques salute mkuu
Ukipenda muite "Mbakiaji"
 
Naona mheshimiwa ukaamua kuja fungua code...big up waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…