Nani aliiba idea ya mwenzake, Mwana FA au Jay Mo?

Nani aliiba idea ya mwenzake, Mwana FA au Jay Mo?

Jay Mo ni Ginius zaidi ya FA

Sent using Jamii Forums mobile app
Wote majiniaz ila sijawahi kujua nani zaidi. Japo ukiwajaji based on album zao za kwanza aisee 'Ulimwengu ndio mama' ya JayMo iliizidi mbali 'Mwanafalsafani' ya MwanaFA. Sema nachoona baada ya JayMo kutisha sana na album yake ya kwanza kama alirelax hivi akawa anatoa ngoma za kawaida, huku kwa upande wa FA aliendelea kutisha na hits kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaymoe alimdiss FA kwenye Mawazo FA akajibu kwenye Tuliza Ball pale alipoimba
"Sitegeki kwa mitego iwe ya panya au ya tembo,na maisha yangu halisi Wala hayapo kwenye nyimbo"'( Jaymoe kwenye Mawazo aliweka history yake,familia na ndugu zake kwenye huo wimbo""
Halafu Kuna wimbo siukumbuki jina wa FA anachana
"Chemba squad wananijua Kama James Bond""
East Coast hawajaacha kuniita FA the don,shujaa natimiza agano,silaha yangu ni mdomo,ni Kama mume wa kambo mwenye mke wa kizaramo
Mimi ni Hitler Kama 7,Idd amini Kama 50
Halafu mwisho anamalizia "Hata Kaka ako Solo anajua Mimi ni perfect!!( Kwa ukaribu wa Solo thang na Moe nadhani tuconclude tu FA was for More technique,more flavor
 
Ila mamamae wahuni walichora sana mashairi, kwa umri ule waliandika vitu viko mbele ya muda... ngoma zote ni kali bila kujali idea kufanana.

Sio vibwengo wa sasa UNO UNO eti ni hit song, pumbavu..!!

I’m so ahead of time, acha tu nizungumziwe... FA
 
kama unataka dem ilikua ashirikishwe mwana fa kama kurudisha fadhira ya ingekua vp, ila akazingua zingua kumbe ana lake kichwani, mo akazipata akamchukua mwanazuoni wakafanya yao, na baada ya hapo kuna dis track zilifuata mo kwenda kwa mwana fa na mwana fa akaijibu kupitia tuliza bori... ila changanyeni na zenu, mi naota tuu.
 
Bro it's just JF dunia ya mtandaoni why do you take it personal [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kusema

kweli mwanafa ni snitch just like you...mara nyingi huwa unashobo za kidada sana...mixer huwa natamani nikuite ascrepashacious....
 
screpa
Asante sana kwa lyrics, ngoma zina miaka 20 ila sikuweza kuzishika vema.... leo hii sijui madogo wanaandika nini tu.

Leo msanii anatoa utopolo anaita wimbo, kesho yake mwanangu wa miaka mitatu anaimba ‘wimbo’ wote bila kuacha nukta... ni faraja kuona hawa miamba bado wanafanya mziki.
 
Back
Top Bottom