screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
- Thread starter
- #21
Wote majiniaz ila sijawahi kujua nani zaidi. Japo ukiwajaji based on album zao za kwanza aisee 'Ulimwengu ndio mama' ya JayMo iliizidi mbali 'Mwanafalsafani' ya MwanaFA. Sema nachoona baada ya JayMo kutisha sana na album yake ya kwanza kama alirelax hivi akawa anatoa ngoma za kawaida, huku kwa upande wa FA aliendelea kutisha na hits kibao
Sent using Jamii Forums mobile app