Asante kwa kunikumbusha dada yangu WiseLady. Hivi kwanini hujaonekana kwenye harusi yangu na Heaven on earth? au roho ilikuuma. Dena Amsi sijamuona Angel Msoffe wala Passion Lady. Mia
Kaka waliofuata sikuwakagua,nilizuga mimi kwenye scan na wao waende zao.Basi taja uliowapokea tujue uliwakagua vizuri?au ulifanya kama Mwalimu Nyerere International airport,ulimtoa mtu katika Skan,alafu ukakaa wewe,ukawapitisha bila kukagua
Asante kwa kunikumbusha dada yangu WiseLady. Hivi kwanini hujaonekana kwenye harusi yangu na Heaven on earth? au roho ilikuuma. Dena Amsi sijamuona Angel Msoffe wala Passion Lady. Mia
Wengi walinitusi. Nkt!
samahanini wale wote waliokosa uvumilivu.Unaona makosa yako yametuletea fujo Jamvini,wanabodi wanakosa uvumilivu
Heaven on earth kaolewa lini?hamna hata updates?Al Shabaab noma bana "Westgate" Nimekusoma mkuu
sahau kabisa
aaalaaaaaa kumbe mliwowana eeeee
mi sikuepo mtaa huu kwa muda!!hongereni
​?????!!!!sahau kabisa