Nani alikusaidia kupata kazi unayoifanya?

Nani alikusaidia kupata kazi unayoifanya?

Shemeji yangu

Binafsi Nilikuwa napenda saana jeshi

Baada ya kumaliza Six nikaenda chuo nikasoma miezi miwili Shemeji yangu akaja chuo akanirudisha home

Then akanipekeka chuo cha diploma nikapiga technical course moja 3 years
Siku nachukua cheti kesho yake nikadandia ndege mpaka kigoma nikaenda kuanza kazi kwenye mamlaka moja bila usahili wala nini

Ubarikiwe saana shemeji yangu huna baya
 
👏🏻👏🏻
 
Nilimsindikiza mtu kuapply kazi ila nikaishia kuipata mimi kazi.

Jamaa haelewi mpaka leo anahisi nilimzunguka ila ni Mungu tu alinipangia iwe rizki yangu.

Wakati jamaa kaingia ndani kupeleka application yake mimi nilibaki nje nikimsubiri.
Kulikuwa na watu wawili wanaongea kwenye parking karibu ya nilipokuwa nimekaa.

Katika maongezi yao walikuwa wanaelekezana sehemu ambapo ilibidi mmoja wao aende na taxi. Kutokana na kutozungumza kwao kiswahili ikawa tabu kuelekeza dereva wa taxi.

Walipotaka kuita mmoja wa waajiriwa wa kampuni, nilijitolea tu kumuelekeza dereva wa taxi maana toka mwanzo nilikuwa nasikia maongezi yao.

Baada ya huyo mmoja kuondoka aliebaki akaanza kunihoji nasubiri nini pale. Nikamwambia ninachosubiri.
Aliuliza nafanya kazi gani, nikamjibu sina kazi ndio kwanza nimemaliza kusoma.

Alinipa business card yake na kutaka siku ya pili niende na cv yangu.
Jamaa yangu alipotoka alikuta ndio namalizia maongezi na huyo mtu ambae nilikuja kugundua ni director wa hiyo kampuni.

Nilipomwambia jamaa yangu kilichotokea alibadilika hapo hapo na kununa. Aliitisha bodaboda na kuondoka.

Siku ya pili nilipeleka CV yangu na siku hiyo hiyo kupata ajira.
😅😅😅😅sasa alinunia nini Jamani
 
Back
Top Bottom