Nani alikuwa na real sauti nzito ya simba/zege, orginal na si ya act kati ya hawa wana-Hip Hop wakongwe Bongo?

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Bongo land hii pametokea watu ambao walikuwa wasanii ambao pia walikuwa na sauti nzito kweli kweli kwenye kurap, wengine walikuwa wanajifanyisha, wengine ni za kwao za asili, je kati ya hawa nani alikuwa na sauti asili

1. Mchizi Mox
2.Kala pina
3.Chid benzino
4.Geez mabovu
5.Jay moe
6. Squizer

Tuseme ukweli
 
Mchizi Mox, hata akiongea ana sauti nzito yenye Mkwaruzo......

Jay mo Hana sauti nzito.
 
Huyu namba 3 huyu ni nouma mzee
 
Mchizi Mox ndio sauti real wengine walikuwa wanaigiza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…