Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Inatajwa kuwa miaka ya 1980s kuelekea 90s Mzee Mwinyi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivunja Baraza lake la mawaziri.
- Nini kilimfanya alivunje baraza hilo
- Inasemekana kuna waziri mmoja alimfuata Mzee Mwinyi in person kumuuliza kama na yeye (huyo waziri) anahusika (inasemekana alimuuliza "Mzee na mimi?") Mzee akamjibu, kama wewe ni Waziri basi tangazo linakuhusu.