Nani alikwenda kumuuliza Mzee Ally H. Mwinyi "Mzee na mimi?"

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Inatajwa kuwa miaka ya 1980s kuelekea 90s Mzee Mwinyi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivunja Baraza lake la mawaziri.
  1. Nini kilimfanya alivunje baraza hilo
  2. Inasemekana kuna waziri mmoja alimfuata Mzee Mwinyi in person kumuuliza kama na yeye (huyo waziri) anahusika (inasemekana alimuuliza "Mzee na mimi?") Mzee akamjibu, kama wewe ni Waziri basi tangazo linakuhusu.
 
Npoo hapa nami nijue nina huyo aliyemuuliza mzee hilo swali "MZEE NA MII"
 
Kama uliweza kupata hizi details ulishindwaje kujua jina la huyo Waziri? Wacha unaa hapa.
 

Enzi za legend Ustaadh Ngariba Mussa Fundi, muasisi wa mihadhara 1985 hiyo.
 
Sad, usomi wake haukuwa na tija
 
Ilikuwa hivi: Siku hiyo Mwinyi aliwaita Ikulu mawaziri wake wote kwa mkutano. Walipofika na kuketi aliwagawia wote karatasi blank na kuagiza kila mmoja aandike kuwa anajiuzulu.
Hapo ndipo PM Warioba akasomama na kutaka ufafanuzi kwamba hata yeye PM?
Mwinyi akamjbu ndiyo, hata wewe kwani wewe ni waziri pia.
Inadaiwa baadhi ya mawaziri walitoka Ikulu kwa miguu na kupanda taxi kurudi kwao kwani waliambiwa magari wayaache pale.
 

Nadhani story za Mwinyi hazipo sana an
Jamaa aliwafanyia kikatili sanaaa
Nin kilikuwa chanzo cha kuvunja baraza la mawaziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…