Nani alikwenda kumuuliza Mzee Ally H. Mwinyi "Mzee na mimi?"

Sasa hiyo hata mimi ilisaidia nini kuzuia kiuzwa kwa loliondo??
 
Nadhani story za Mwinyi hazipo sana an
Jamaa aliwafanyia kikatili sanaaa
Nin kilikuwa chanzo cha kuvunja baraza la mawaziri?
Mwinyi alikuwa akiongozwa na Bi Mdogo na Kitwana Kondo. Hii ilitokea kwa sababu baada Kitwana Kondo kusuka kuondolewa Warioba kwa kupitia Bi Mdogo. Kitwana Kondo na Warioba walikuwa hawapikwi chungu kimoja. Baada ya hapo Warioba aliondolewa uwaziri mkuu. Kitwana Kondo alienda mbali mpaka kwenye uchaguzi na kumshawishi aliyesimama pamoja na Warioba kwenye uchaguzi akate rufaa. Hiyo rufaa ililipiwa na Kitwana Kondo, nia ikiwa Warioba apotee kwenye wingo wa siasa.
 
Na watu ndipo walipoelewa kuwa biblia ina mafundisho ya mahari ya g..i
 
Kama aliongozwa "...na Bi Mdogo na Kitwana Kondo" kama unavyotaka kutuaminisha basi, walimuongoza vizuri sana kwani walitutoa kwenye lindi la njaa na umasikini wakatuingiza kwenye neema kwa muda mfupi sana. Ikawa ruksa, ruksa, ruksa.
 
Kumbe tulikuwa hatarini
 
Kumbe figisu zilianza kitambo
 

Hivi hizi porojo na uongo uongo mnaoturushia humu huwa mnatunga mkiwa Bar gani! Rubbish and shit!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…