Binadamu bhana akishinda mnamshangilai kukosa kupata ni sehemu ya maisha au hamjui hilo jamani? Match na Uganda kufuzu AFCON milimshangilia kinoma leo mnatoa S**T keshokutwa akifanikiwa kuivusha team kwenda AFCON tena sijui utaongea nn tena?Halafu akikosa magoli ya wazi anakenua[emoji16][emoji16] ndugu zangu tuache unafiki jamaa anaudhi mno,sema ndio nchi ishakuwa worship & praise group,kila kitu hewaa!!..
Unataka akaze mkimvunja miguu jee,si ajab cha maana mtachofanya kama nchi ni kumpa pole,akat tayar keshaharib kaz yake..genk ndio wanamlipa tena anataraj kwenda EPL sasa aumie halaf akose vyote kwa nch ambayo haimsaidii chochote zaid ya kumpigia makof...hata ningekua mim samata ndo ningekua nasema siji kabisa pambaf
Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa
Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa kubahatisha huko kwenye ligi mbovu kuliko zote ulaya.
Kina Sadio Mane wanacheza ligi bora duniani ila akiwa timu ya taifa anapambana kama kwenye timu yake
Ila huyu jamaa amebaki kukenua tu uwanjani.angejua watu wanavyomchukia angenuna tu baada ya kukenua maana an a chunkiza
Tatizo media zimevimbisha kichwa ila mpira hajui
Huyu samata angefikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama wa Tottenham angebadilisha hadi uraia nadhani maana anajiona ni mchezaji maarfu kumbe anajulikana Tanzania tu
usiniambie wale mascout wanachukua watu ambao hawana vibaji wachezaji wangapi bongo hapa washaenda trial na wamefeli? Jaribu kuheshi watu na kazi zao dude SAMATTA anakipaji na juhudi ndio maana yupo pale muda sio mrefu ataenda next level unayoitaka ww ambayo unasema ni EPL sijui utaongea nn siku hiyo mm nitakurudia kwenye huu uzi labda uufute siku hiyo [emoji23]
mm sifuatili mpira kabisa mzee shabiki maandazi tu mm JUPILER PRO LEAGUE 18/19 [emoji116][emoji116]Mkuu unafuatilia mpira kweli au ndio mahaba niue,lini Samata amekuwa top score Jupiter League?.
Rubbish.Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa
Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa kubahatisha huko kwenye ligi mbovu kuliko zote ulaya.
Kina Sadio Mane wanacheza ligi bora duniani ila akiwa timu ya taifa anapambana kama kwenye timu yake
Ila huyu jamaa amebaki kukenua tu uwanjani.angejua watu wanavyomchukia angenuna tu baada ya kukenua maana an a chunkiza
Tatizo media zimevimbisha kichwa ila mpira hajui
Huyu samata angefikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama wa Tottenham angebadilisha hadi uraia nadhani maana anajiona ni mchezaji maarfu kumbe anajulikana Tanzania tu
mm sifuatili mpira kabisa mzee shabiki maandazi tu mm JUPILER PRO LEAGUE 18/19 [emoji116][emoji116]View attachment 1274149
Kila mahali pana changamoto zake ww unazani jamaa atafeli EPL sasa mm nakuambia jamaa ndio ataiva atakuwa mkali zaidi Kwasababu mazingira ndio yatamfanya awempambanaji zaidi yahapa halipo naatapata more experiences trust me.Hana kipaji media zinamkuuza huyu hajafikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama. Ila huwezi kumwona wanyama akiwa na mambo ya kishamba km ya samata uwanjaani
Mshaurini asiende EPL ataishia kuzomewa kila weekend
Epl hakuna magoli ya kuvizia kupiga vichwa km ubeligiji
Nani alikuwa mfungaji bora sasa? Nitajie basiSamata hakuwa mfungaji bora acha ubishi wa kishamba
Ligi yenyewe ya ndondo hiyo
Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuva kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.Binadamu bhana akishinda mnamshangilai kukosa kupata ni sehemu ya maisha au hamjui hilo jamani? Match na Uganda kufuzu AFCON milimshangilia kinoma leo mnatoa S**T keshokutwa akifanikiwa kuivusha team kwenda AFCON tena sijui utaongea nn tena?
Kilio cha watanzania na maono ya Poulsen kwa Samatta
Februari 2012, Kocha wa Taifa Stars Mdenishi, Jan Poulsen alitangaza kikosi cha kuivaa Msumbiji kufuzu AFCON 2013.www.mwanaspoti.co.tz
Mkuu lengo langu sio kubishana ni kueleweshana,narudia SAMATA HAJAWAHI KUWA TOP SCORER JUPITER,hizo data ulizotoa ni kabla ya league kwisha,top scorer alikuwa huyu jamaaa.mm sifuatili mpira kabisa mzee shabiki maandazi tu mm JUPILER PRO LEAGUE 18/19 [emoji116][emoji116]View attachment 1274149
Nimekutajia.Nani alikuwa mfungaji bora sasa? Nitajie basi