Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Nani alimdanganya Samatta akicheka cheka hovyo uwanjani ndio anapendeza

Ninafamu mpira nimecheza toka nipo mtoto hadi nilipoamua kupumzika

Mpira kwangu ni zaidi ya burudani

Ila samata uwezo hana ni wale wachezaji wanaoushi kwa bahati uwanjani
!
!
jamaa mbona hater hivyo mkuu? duuuuh
 
Halafu akikosa magoli ya wazi anakenua[emoji16][emoji16] ndugu zangu tuache unafiki jamaa anaudhi mno,sema ndio nchi ishakuwa worship & praise group,kila kitu hewaa!!..
Binadamu bhana akishinda mnamshangilai kukosa kupata ni sehemu ya maisha au hamjui hilo jamani? Match na Uganda kufuzu AFCON milimshangilia kinoma leo mnatoa S**T keshokutwa akifanikiwa kuivusha team kwenda AFCON tena sijui utaongea nn tena?
 
Mbona kina drogba walikuwa wanajutuma 100% na anacheza ligi bora dunuani

Huyu yupo kule ligi ya ndondo ila anavimba kichwa

Huyu asiende uingereza atakuwa anazomewa kila weekend
Unataka akaze mkimvunja miguu jee,si ajab cha maana mtachofanya kama nchi ni kumpa pole,akat tayar keshaharib kaz yake..genk ndio wanamlipa tena anataraj kwenda EPL sasa aumie halaf akose vyote kwa nch ambayo haimsaidii chochote zaid ya kumpigia makof...hata ningekua mim samata ndo ningekua nasema siji kabisa pambaf
 
Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa

Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa kubahatisha huko kwenye ligi mbovu kuliko zote ulaya.

Kina Sadio Mane wanacheza ligi bora duniani ila akiwa timu ya taifa anapambana kama kwenye timu yake

Ila huyu jamaa amebaki kukenua tu uwanjani.angejua watu wanavyomchukia angenuna tu baada ya kukenua maana an a chunkiza

Tatizo media zimevimbisha kichwa ila mpira hajui

Huyu samata angefikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama wa Tottenham angebadilisha hadi uraia nadhani maana anajiona ni mchezaji maarfu kumbe anajulikana Tanzania tu

acha wivu wa kike?

unamjua alhaji Diof? muda mwing yy alikua nacheka uwanjani..hata kama refa kamwone
 
Hana kipaji media zinamkuuza huyu hajafikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama. Ila huwezi kumwona wanyama akiwa na mambo ya kishamba km ya samata uwanjaani

Mshaurini asiende EPL ataishia kuzomewa kila weekend

Epl hakuna magoli ya kuvizia kupiga vichwa km ubeligiji
usiniambie wale mascout wanachukua watu ambao hawana vibaji wachezaji wangapi bongo hapa washaenda trial na wamefeli? Jaribu kuheshi watu na kazi zao dude SAMATTA anakipaji na juhudi ndio maana yupo pale muda sio mrefu ataenda next level unayoitaka ww ambayo unasema ni EPL sijui utaongea nn siku hiyo mm nitakurudia kwenye huu uzi labda uufute siku hiyo [emoji23]
 
Mkuu unafuatilia mpira kweli au ndio mahaba niue,lini Samata amekuwa top score Jupiter League?.
mm sifuatili mpira kabisa mzee shabiki maandazi tu mm JUPILER PRO LEAGUE 18/19 [emoji116][emoji116]
IMG_20191127_122825_752.jpeg
 
Huyo mchezaji yupo km MTU asiyejitambua kabisa

Huwa akicheza timu ya Taifa akiguswa kidogo anajiangusha. Muda akiinuka anacheka eti sujui huwa anajiona nani wakati mpira wenyewe anacheza wa kubahatisha huko kwenye ligi mbovu kuliko zote ulaya.

Kina Sadio Mane wanacheza ligi bora duniani ila akiwa timu ya taifa anapambana kama kwenye timu yake

Ila huyu jamaa amebaki kukenua tu uwanjani.angejua watu wanavyomchukia angenuna tu baada ya kukenua maana an a chunkiza

Tatizo media zimevimbisha kichwa ila mpira hajui

Huyu samata angefikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama wa Tottenham angebadilisha hadi uraia nadhani maana anajiona ni mchezaji maarfu kumbe anajulikana Tanzania tu
Rubbish.
 
Wivu wa kike kwa mchezaji mbovu km samatta anayebebwa na media uchwara zilizojaza watu wasiouelewa mpira kwenye vipindi vya michezo
acha wivu wa kike?

unamjua alhaji Diof? muda mwing yy alikua nacheka uwanjani..hata kama refa kamwone
 
Hana kipaji media zinamkuuza huyu hajafikia hata robo ya mafanikio ya Victor wanyama. Ila huwezi kumwona wanyama akiwa na mambo ya kishamba km ya samata uwanjaani

Mshaurini asiende EPL ataishia kuzomewa kila weekend

Epl hakuna magoli ya kuvizia kupiga vichwa km ubeligiji
Kila mahali pana changamoto zake ww unazani jamaa atafeli EPL sasa mm nakuambia jamaa ndio ataiva atakuwa mkali zaidi Kwasababu mazingira ndio yatamfanya awempambanaji zaidi yahapa halipo naatapata more experiences trust me.
 
Binadamu bhana akishinda mnamshangilai kukosa kupata ni sehemu ya maisha au hamjui hilo jamani? Match na Uganda kufuzu AFCON milimshangilia kinoma leo mnatoa S**T keshokutwa akifanikiwa kuivusha team kwenda AFCON tena sijui utaongea nn tena?
Mkuu ongea kama mfuatiliaji wa mpira,mchango wa Samata team ya Taifa ni mdogo mno almost haupo,utalinganisha fighting spirit ya Samata na Msuva kwenye national team?.fanya comparison utapata jibu.Kuhusu kwenda Afcon ilikuwa lazima twende tu kwa namna yoyote,maana Waganda tayari walishafuzu,hata ningecheza mimi na wewe siku hiyo,goli kipa akawa Santino bila hofu yoyote tungeshinda.Kwan hukusikia team ya Uganda ikituhumiwa na CAF na chama chake cha soka kuwa matokeo yalikuwa planned?.
 
Back
Top Bottom