Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

Alipewa na pope john paul II
 
Neno sir in kubwa sana ktk kanisa katoliki lzma upitie hatua flank ktk kanisa ndipo hupewa cheo hicho .hvyo cheo hicho alipewa na papa na so nyerere
 
Ahahaaah...
Ulifanikiwa kudanganya watu wengi sana hapa..!
Ulivyoandika sasa..!
Yaani ni kama una uhakika kabisa na ulichokiandika..!
 
Mbona sijakuelewa mkuu ulichoanza na upichomalizia vitu viwili tofauti...
 
Matango pori mkuu[emoji15]
 
Katika uhai wake, Sir George Kahama aliwahi kutunikiwa nishani ya Kimataifa ya Knight Commander of the Order of St. Gregory the Great iliyotolewana Pope John XXIII mwaka 1962. Hii ndiyo nishani iliyoza jina la Sir George Kahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…