Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hili tatizo hata mkuu wa nchi analo.
swissme
Teh teh teh,jamaa kajichimbia kwenye kozi ya ung'eng'e halafu anazuga anabana matumizi kwa kutosafiri hovyo,nyie subirini amalize kozi yake halafu muone Kama hamtamsomea angani.