Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

Sir is an honorific address used in a number of situations in many anglophone cultures. The term can be used as a formal prefix, especially in the Commonwealth, for males who have been given certain honors or titles (such as knights and baronets), where usage is strictly governed by law and custom.

The term is commonly used as a respectful way to address a man, usually of superior social status or military rank. Equivalent terms of address to females are "ma'am" or "madam" in most cases, or in the case of a very young woman, girl, or unmarried woman who prefers to be addressed as such, "miss". The equivalent term for a knighted woman or baronetess is Dame, or "Lady" for the wife of a knight or baronet
 
Napenda kujua mtu mpaka anaitwa SIR awe na vigezo gan?. Halaf mbona sijawah sikia mwanamke akiitwa SIR!??. Karibun tujadili.

sir ni cheo cha heshima unachopewa na malkia baada ya kufanya jambo kubwa kwa taifa la uingereza furgason na sir bob charton walifanya makubwa kwenye mpira kwa mfano sis alifunga goli lililotupeleka fainal za mataifa ya africa mwaks 80 tulipaswa kuumpa heshima yake kubwa ata punga eliton john kafanys makubwa kwenye mziki
 
kama hicho ndicho kigezo , hapa Tanzania tuna watu wawili
ninao wajua wenye hadhi ya "sir" ambao ni
1. Sir. George Kahama
2. Sir. Andy Chande.

Je , hawa watanzania wawili walifanya jambo gani la maana
kwa waingereza mpaka wakapewa hicho cheo, ili hali mwl. nyerere
aliyekabidhiwa nchi na hao hao waingereza hakupewa hicho cheo.

Vipi na kwa mtu kama Arsene Wenger wa Arsenal na David Beckham, ina maana
michango yao kwa soka la Uingereza bado haijaonekana..?
 
Soma ulichoandika kama utaelewa Sis ndio nani alifunga goli likawapelekeni fainal za mataiffa africa!
 
Kuna Mjeshi anaitwa Sir Meja Saa Meja..

Boss wetu tunamuuita Sir..

Marekani wajeshi wengi ni Ma Sir maana kila kuruta akipewa amri lazima aseme Yes Sir hiyo hakuna kukataa amri yoyote as per Law za kijeshi Only
 
Kuna wagunduzi mbali mbali wa mambo makubwa yahusuyo dunia na watu wake,kuna waandishi wa vitabu vilivyosaidia kubadilisha maisha ya watu,na hata maprofesa wanapaswa kupewa heshima ya kuitwa Sir....watatuzi wa mambo ya kimataifa na washauli wenye hekima na busara kubwa pia.hata mimi hapa ni Sir G'taxi
 
Ni lazimq uwe British subject ndio uweze kukitumia. Otherwise utabakia kuwa KBE-Knight of the British Empire. Ni mtanzania mmoja tu mwenye hadhi hiyo. Andy Chande?
 
Hivi kiswahili sanifu cha "Sir" ni kipi? Ni Bwana Mkubwa?
 
Nadhani maana ile ya George Kahama ilikuwa ya kibongo tu.
 
Sir is an honorific address used in a number of situations in many anglophone cultures. The term can be used as a formal prefix, especially in the Commonwealth, for males who have been given certain honors or titles (such as knights and baronets), where usage is strictly governed by law and custom.

The term is commonly used as a respectful way to address a man, usually of superior social status or military rank. Equivalent terms of address to females are "ma'am" or "madam" in most cases, or in the case of a very young woman, girl, or unmarried woman who prefers to be addressed as such, "miss". The equivalent term for a knighted woman or baronetess is Dame, or "Lady" for the wife of a knight or baronet

""The term can be used as a formal prefix, especially in the Commonwealth, for males who have been given certain honors or titles (such as knights and baronets), where usage is strictly governed by law and custom.""

Mbona hata mabwabwa nao wanaitwa hivyo.... mimi huwa na block watu ofisini wanaonikejeli kwa kuniita Sir.... ukifukuzwa kazi hata hawakuiti .. bora Mwalimu, Doctor, Engineer, Ustadh, Mchungaji. hata kama huna kazi utaitwa tu majina haya kama yanakuhusu... lakini la Sir mara nyingi watu wa chini wakitaka kumvimbisha kichwa boss wao watamuita majina haya ukifukuzwa kazi utasikia wewe maganga na sio sir maganga tena
 
Mkuu ungetafsiri ili weng wapate faida.

Hili tatizo hata mkuu wa nchi analo.

swissme

sir ni cheo cha heshima unachopewa na malkia baada ya kufanya jambo kubwa kwa taifa la uingereza furgason na sir bob charton walifanya makubwa kwenye mpira kwa mfano sis alifunga goli lililotupeleka fainal za mataifa ya africa mwaks 80 tulipaswa kuumpa heshima yake kubwa ata punga eliton john kafanys makubwa kwenye mziki

kwa mwanamke ni maddame

kama hicho ndicho kigezo , hapa Tanzania tuna watu wawili
ninao wajua wenye hadhi ya "sir" ambao ni
1. Sir. George Kahama
2. Sir. Andy Chande.

Je , hawa watanzania wawili walifanya jambo gani la maana
kwa waingereza mpaka wakapewa hicho cheo, ili hali mwl. nyerere
aliyekabidhiwa nchi na hao hao waingereza hakupewa hicho cheo.

Vipi na kwa mtu kama Arsene Wenger wa Arsenal na David Beckham, ina maana
michango yao kwa soka la Uingereza bado haijaonekana..?

Soma ulichoandika kama utaelewa Sis ndio nani alifunga goli likawapelekeni fainal za mataiffa africa!

Kuna Mjeshi anaitwa Sir Meja Saa Meja..

Boss wetu tunamuuita Sir..

Marekani wajeshi wengi ni Ma Sir maana kila kuruta akipewa amri lazima aseme Yes Sir hiyo hakuna kukataa amri yoyote as per Law za kijeshi Only

Sir ni kuendekeza Ubwanyenye tu havina maana yeyote.

Kuna wagunduzi mbali mbali wa mambo makubwa yahusuyo dunia na watu wake,kuna waandishi wa vitabu vilivyosaidia kubadilisha maisha ya watu,na hata maprofesa wanapaswa kupewa heshima ya kuitwa Sir....watatuzi wa mambo ya kimataifa na washauli wenye hekima na busara kubwa pia.hata mimi hapa ni Sir G'taxi

Ni lazimq uwe British subject ndio uweze kukitumia. Otherwise utabakia kuwa KBE-Knight of the British Empire. Ni mtanzania mmoja tu mwenye hadhi hiyo. Andy Chande?

Hivi kiswahili sanifu cha "Sir" ni kipi? Ni Bwana Mkubwa?

Sir Elton John...

""The term can be used as a formal prefix, especially in the Commonwealth, for males who have been given certain honors or titles (such as knights and baronets), where usage is strictly governed by law and custom.""

Mbona hata mabwabwa nao wanaitwa hivyo.... mimi huwa na block watu ofisini wanaonikejeli kwa kuniita Sir.... ukifukuzwa kazi hata hawakuiti .. bora Mwalimu, Doctor, Engineer, Ustadh, Mchungaji. hata kama huna kazi utaitwa tu majina haya kama yanakuhusu... lakini la Sir mara nyingi watu wa chini wakitaka kumvimbisha kichwa boss wao watamuita majina haya ukifukuzwa kazi utasikia wewe maganga na sio sir maganga tena

ukiwa mwalimu wa shule za school bus (wa jinsia ME) utaitwa tu SIR

Elton John nae alipataje U-Sir?
umagharibi si wa kuiga hata kidogo
 
Back
Top Bottom