Nani alimpa u-'SIR' George Kahama?, Tanzania wenye cheo hiki wapo wangapi?

Mimi nilikuwa najiuliza hivi huu 'Usir' huyu kahama aliupateje wajameni?

Mwengine mtanzania mwenye initial ya Sir ni Juma Nature au Kibra teh teh teh
Ni heshima aitoayo Malkia wa uingereza baada yakufanya jambo fulani lenye Tija kwake. Ni kama zawadi ya Nobel au ile ya Mo Ibrahim zitokazo baada ya muda fulani ila kwa jamii yetu hii ya Tz sina hakika na faida ya usir manake sijaona!
 
Ni heshima aitoayo Malikia wa uingereza baada yakufanya jambo fulani lenye Tija kwake. Ni zama zawadi ya Norbel au ile ya Mo Ibrahim zitokazo baada ya muda fulani ila kwa jamii yetu hii ya Tz sina hakika na faida ya usir manake sijaona faida yake!

Hilo nalifahamu kaka tatizo huyu Kahama aliupataje yaani what did he do to deserve that?
 
Duuh, Mkapa anazidi kupendeza tu!lol
 
yupo
SIR KUTETERE WA MARANGU!!!!WEEE ACHA KUDANGANYA WATU WACHAGA TUNA MA SIR KAMA 10 HVI AWAJITANGAZI KAMA WENU HUYO WA MIGODINI

Mambo ya migodi yametoka wapi tena kaka?haya na wenu wa madizini basi wajitokeze,mbona hasira hao si uwataje na lini wamekuwa knighted?lete source kaka sio kuchonga tuuuuuuuuuuuuuuuuuu,tuko kwa facts now sio wakati wa ujamaa eti umeota...
 
Sir Robert Kilanga, na inawezekana akawaSir mdogo kuliko wote amepewa June 13, 2009 na Malkia Elizabert
 
Wakuu hivi nank mwenye idhini ya kutunuku U-Sir??Je ninani alimpa George Kahama??na kwa sababu gani??alifanya nini??
 
Wapi alipo huyu mzee ? Aliwahi kuwa waziri awamu ya kwanza na ya 3 . Na hiyo heshima ya kuwa sir aliipata kwa kufanya nini?

 
huyu ni mkatoliki aliyeendelea ana wake 2.maneno ya nyerere hayo!
 
Nenda Bookshop kuna kitabu chake (Biography) ukimaliza kusoma utamjua vizuri.
 
huyu ni mkatoliki aliyeendelea ana wake 2.maneno ya nyerere hayo!

Sio kweli, hana wake wawili. Ana mke mmoja na hawala/malaya mmoja. Wakatoliki sheria ya Mungu na ya nchi inasema mke mmoja na mume mmoja. Rekebisha maandishi yako.
 
Hata sitaki kumsikia huyo mtu aliwahi kuwa mbunge huko kwetu ila cjaona alichofanya cha muhimu pamoja na kuwa waziri
 
Sio kweli, hana wake wawili. Ana mke mmoja na hawala/malaya mmoja. Wakatoliki sheria ya Mungu na ya nchi inasema mke mmoja na mume mmoja. Rekebisha maandishi yako.

Mke wake wa kwanza alishafariki mama Maria kwa hiyo sasa hivi ana mke 1 tu Janeth. Lakini Janeth na Maria ni mtu na mdogo wake.
 
Mke wake wa kwanza alishafariki mama Maria kwa hiyo sasa hivi ana mke 1 tu Janeth. Lakini Janeth na Maria ni mtu na mdogo wake.
Huyu mzee namuheshimu lakini wazee kama hawa wanaposhindwa kuwa active now kuisema na kuwasemea watanzania wanyonge sasa wakati tunawahitaji kuliko wakati wowote mpaka tunaomba Nyerere afufuke wao wapo wapo tu kazi kusifia serikali iliyopo madarakani.wasimame sasa tuzisikie sauti zao! Haina maana watu wazito ktk historia ya nchi kama yeye hata vijana hawamfahamu na yupo hai akiwa na akili timamu kabisa! Legacy haina mwisho na hatutaki kukumbuka historia yake tu bali hata sasa akiwa hai anatoa mchango gani? Mandela ametetea wanyonge mpaka kumsemea mbovu Bush hadi uzee ulipomzidi!! Hawa wanaokula pension tu alafu wanaisema serikali kiuoga hawatendei haki legacy wanayopewa na watanzania!!
 
Sio kweli, hana wake wawili. Ana mke mmoja na hawala/malaya mmoja. Wakatoliki sheria ya Mungu na ya nchi inasema mke mmoja na mume mmoja. Rekebisha maandishi yako.

Wakatoliki wanaruhusu HAWARA/MALAYA?
 
Mke wake wa kwanza alishafariki mama Maria kwa hiyo sasa hivi ana mke 1 tu Janeth. Lakini Janeth na Maria ni mtu na mdogo wake.

ebo! Makubwa sana haya, mzee naye alikuwa wamo sana eeh?
 
Aisee mambo ya kumchukua mdogo wake kijijini,Aisee Janet ndo akawa mke,baadhi ya wanaume wa kihaya ni noma
 
Wakati bado tukiwa chini ya Ukoloni wa Mwingereza kulikuwa na bunge la Africa Mashariki likijumuisha nchi tatu, na mwanzoni katika hili bunge kulikuwa na uwakilishi wa wazungu na waasia peke yao. Baada ya harakati za ukombozi na kutaka waafrika wajumuishwe kwenye hili bunge (LEGCO) George Kahama ndo alikuwa mwafrica wa kwanza kuingia kwenye hilo bunge kuwawakilisha waafrica. Kwa heshima hiyo Malkia wa UK alimpa jina la Sir.
 
Reactions: Edo

Kama hujui kitu ni busara kukaa kimya kuliko kuonesha ujinga wako! Malkia gani,na lini alipomtunuku heshima hiyo huyu mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…