Nani alimshauri Rais Samia kuwa Maendeleo ni kujenga zahanati pekee? Tujikite kwenye kujenga barabara

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kitu ambacho Magufuli alikielewa ni kwamba maendeleo yanahitaji miundombinu, hasa barabara. Palipo na barabara ya lami, shughuli za kiuchumi huongezeka na maendeleo huja kwa urahisi zaidi.

Sijui ni nani aliyemshauri Rais Samia kwamba maendeleo ni kujenga zahanati pekee. Palipo na barabara, zahanati na vituo vya afya vitajengwa, lakini unapojenga zahanati bila barabara, wagonjwa watafikaje kupata huduma?

Kwa sasa, Tanzania inapaswa kuweka kipaumbele katika ujenzi wa barabara. Tuache blah blah! TANROADS ilikuwa inakaribia kufa, huku TARURA ikiwa katika hali ngumu. Wanasiasa, acheni siasa za kitapeli, hasa ninyi wana CCM. Mambo yamebadilika.

Namalizia kwa kusema, mwacheni Emmanuel Nchimbi aendelee na maisha yake. Hana kosa lolote.
 
Kitu ambacho Magufuli aliweza ni kujua maendeleo ni kitu gani maendeleo ni barabara palipo na barabara ya lami maendeleo yatakuja yenyewe bila kutumia nguvu. Aliemdanganya Rais Samia kwamba maendeleo ni zahanati sijui ni nani? Palipo na barabarani zahanati vituo vya afya vitakuja tu sasa unajenga zahanati vituo vya Afya huna barabara wangonjwa watafikaje kupata uduma? Kwa sasa Tanzania kipaumbele kiwe barabara tuache blaa blaa Tanroad ilikua inaenda kufa tarura ilikua tia maji tia maji kwasasa wanasiasa acheni Siasa za kitapeli tena wana CCM mambo yamebadilika. Nachomekea na hii mwacheieni Emanueli Nchimbi aendelee na maisha yake hana kosa lolote
mihemko na makasiriko nonsnse jukwaani ni umaskini mbaya mno wa kifikra gentleman.

ugumu uko wapi kwa mdau wa jf kujieleza kwa hekima na busara, bila mihemko nonsense na utovu wa kimadili? :NoGodNo:
 
Situmii mikubdu umekua unanifutilia sana sifiri mimi kwa hiyo kaa kwa kutumia wewe *****
 
Sa100 uwezo wake ni mdogo sana.yeye anajua akijenga jengo la hospital amemaliza.Hajengi barabara ya kufika hapo kwenye jengo,haweki dawa za kutibu wagonjwa na haajiri mwahudumu sasa jengo tu ndiyo litatibu watu?
 
Labda aliona uhitaji wa zahanati nyingi, experience ya mo29
 
Situmii mikubdu umekua unanifutilia sana sifiri mimi kwa hiyo kaa kwa kutumia wewe *****
naifuatilia JF pekee,
sina haja ya wasusia uchaguzi, matusi yenu na mihemko yenu gentleman :NoGodNo:
 
Sa100 uwezo wake ni mdogo sana.yeye anajua akijenga jengo la hospital amemaliza.Hajengi barabara ya kufika hapo kwenye jengo,haweki dawa za kutibu wagonjwa na haajiri mwahudumu sasa jengo tu ndiyo litatibu watu?

Sina uhakika na maneno yako
 
UKWELI MCHUNGU BARABARA ZIMECHAKAA KWELI KWELI..TUNATAKA BARABARA ZIBORESHWE KAMA MNATAKA KUTULETEA SGR MTUAMBIE..KATIBA MPYA NI MWAROBAINI KWA WAVIVU.
 
Kitu ambacho Magufuli alikielewa ni kwamba maendeleo yanahitaji miundombinu, hasa barabara. Palipo na barabara ya lami, shughuli za kiuchumi huongezeka na maendeleo huja kwa urahisi zaidi.

Sijui ni nani aliyemshauri Rais Samia kwamba maendeleo ni kujenga zahanati pekee. Palipo na barabara, zahanati na vituo vya afya vitajengwa, lakini unapojenga zahanati bila barabara, wagonjwa watafikaje kupata huduma?

Kwa sasa, Tanzania inapaswa kuweka kipaumbele katika ujenzi wa barabara. Tuache blah blah! TANROADS ilikuwa inakaribia kufa, huku TARURA ikiwa katika hali ngumu. Wanasiasa, acheni siasa za kitapeli, hasa ninyi wana CCM. Mambo yamebadilika.

Namalizia kwa kusema, mwacheni Emmanuel Nchimbi aendelee na maisha yake. Hana kosa lolote.
Huyu mshamba atakuwa msukuma, Magufuli amejenga barabara ipi, nikusaidie huyo mshamba wenu alijenga km 50 tu kutokea Mwigumbi-Maswa-Bariadi, aliyejenga barabara ni Kikwete yeye alikuwa waziri tu wa Ujenzi. Magufuli alisafiria nyota ya Kikwete, yeye binafsi hakuna mradi alioukamilisha, miradi ya SGR(Moro-Dom), JNHPP, Daraja la Kigongo-Busisi aliviacha kwenye wastani wa 30%.
 
Sa100 uwezo wake ni mdogo sana.yeye anajua akijenga jengo la hospital amemaliza.Hajengi barabara ya kufika hapo kwenye jengo,haweki dawa za kutibu wagonjwa na haajiri mwahudumu sasa jengo tu ndiyo litatibu watu?
Samia uwezo wake ni zaidi yq mara 10 ya yule mshamba wenu, ndiye aliyekamilisha miradi yote mikubwa ya matrilioni kwa zaid ya 70%. Yule mshamba wa kisukuma alikuwa hana uwezo wa kutafuta pesa aligombana na kila mfadhili na watoa mikopo kwa riba nafuu. Alivyomaliza akiba ya Kikwete na kukopa kwa riba kubwa za mabenki aliishiwa uwezo ndiyo maana alikufa mapema kwasababu ya kihoro.
 
Acha kuleta shobo za kipumbavu
Gentleman,
serikali sikivu ya CCM itajenga miundombinu ya afya, elimu, umeme, maji, barabara n.k kadiri ya mahitaji na vipaumbele vya wananchi na sio muheko, makasiriko au matusi yako au ya wanaokufanya ukose adabu jukwaani :NoGodNo:
 
Situmii mikubdu umekua unanifutilia sana sifiri mimi kwa hiyo kaa kwa kutumia wewe *****
Na Bado, mbele ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, hamtoishia kutukana tu Bali na kujiua kabisa mamamaee. Mama ametulia anawachezesha viuno tu na michuki yenu🤣🤣
 
Kitu ambacho Magufuli alikielewa ni kwamba maendeleo yanahitaji miundombinu, hasa barabara. Palipo na barabara ya lami, shughuli za kiuchumi huongezeka na maendeleo huja kwa urahisi zaidi.

Sijui ni nani aliyemshauri Rais Samia kwamba maendeleo ni kujenga zahanati pekee. Palipo na barabara, zahanati na vituo vya afya vitajengwa, lakini unapojenga zahanati bila barabara, wagonjwa watafikaje kupata huduma?

Kwa sasa, Tanzania inapaswa kuweka kipaumbele katika ujenzi wa barabara. Tuache blah blah! TANROADS ilikuwa inakaribia kufa, huku TARURA ikiwa katika hali ngumu. Wanasiasa, acheni siasa za kitapeli, hasa ninyi wana CCM. Mambo yamebadilika.

Namalizia kwa kusema, mwacheni Emmanuel Nchimbi aendelee na maisha yake. Hana kosa lolote.
Na wewe nani kakuambia maendeleo ni Barabara? Maendeleo ya kweli ni maisha ya watu kubadilika
 
Back
Top Bottom