mihemko na makasiriko nonsnse jukwaani ni umaskini mbaya mno wa kifikra gentleman.Kitu ambacho Magufuli aliweza ni kujua maendeleo ni kitu gani maendeleo ni barabara palipo na barabara ya lami maendeleo yatakuja yenyewe bila kutumia nguvu. Aliemdanganya Rais Samia kwamba maendeleo ni zahanati sijui ni nani? Palipo na barabarani zahanati vituo vya afya vitakuja tu sasa unajenga zahanati vituo vya Afya huna barabara wangonjwa watafikaje kupata uduma? Kwa sasa Tanzania kipaumbele kiwe barabara tuache blaa blaa Tanroad ilikua inaenda kufa tarura ilikua tia maji tia maji kwasasa wanasiasa acheni Siasa za kitapeli tena wana CCM mambo yamebadilika. Nachomekea na hii mwacheieni Emanueli Nchimbi aendelee na maisha yake hana kosa lolote
mihemko na makasiriko nonsnse jukwaani ni umaskini mbaya mno wa kifikra gentleman.
ugumu uko wapi kwa mdau wa jf kujieleza kwa hekima na busara, bila mihemko nonsense na utovu wa kimadili?
naifuatilia JF pekee,Situmii mikubdu umekua unanifutilia sana sifiri mimi kwa hiyo kaa kwa kutumia wewe *****
Sa100 uwezo wake ni mdogo sana.yeye anajua akijenga jengo la hospital amemaliza.Hajengi barabara ya kufika hapo kwenye jengo,haweki dawa za kutibu wagonjwa na haajiri mwahudumu sasa jengo tu ndiyo litatibu watu?
Huyu mshamba atakuwa msukuma, Magufuli amejenga barabara ipi, nikusaidie huyo mshamba wenu alijenga km 50 tu kutokea Mwigumbi-Maswa-Bariadi, aliyejenga barabara ni Kikwete yeye alikuwa waziri tu wa Ujenzi. Magufuli alisafiria nyota ya Kikwete, yeye binafsi hakuna mradi alioukamilisha, miradi ya SGR(Moro-Dom), JNHPP, Daraja la Kigongo-Busisi aliviacha kwenye wastani wa 30%.Kitu ambacho Magufuli alikielewa ni kwamba maendeleo yanahitaji miundombinu, hasa barabara. Palipo na barabara ya lami, shughuli za kiuchumi huongezeka na maendeleo huja kwa urahisi zaidi.
Sijui ni nani aliyemshauri Rais Samia kwamba maendeleo ni kujenga zahanati pekee. Palipo na barabara, zahanati na vituo vya afya vitajengwa, lakini unapojenga zahanati bila barabara, wagonjwa watafikaje kupata huduma?
Kwa sasa, Tanzania inapaswa kuweka kipaumbele katika ujenzi wa barabara. Tuache blah blah! TANROADS ilikuwa inakaribia kufa, huku TARURA ikiwa katika hali ngumu. Wanasiasa, acheni siasa za kitapeli, hasa ninyi wana CCM. Mambo yamebadilika.
Namalizia kwa kusema, mwacheni Emmanuel Nchimbi aendelee na maisha yake. Hana kosa lolote.
Samia uwezo wake ni zaidi yq mara 10 ya yule mshamba wenu, ndiye aliyekamilisha miradi yote mikubwa ya matrilioni kwa zaid ya 70%. Yule mshamba wa kisukuma alikuwa hana uwezo wa kutafuta pesa aligombana na kila mfadhili na watoa mikopo kwa riba nafuu. Alivyomaliza akiba ya Kikwete na kukopa kwa riba kubwa za mabenki aliishiwa uwezo ndiyo maana alikufa mapema kwasababu ya kihoro.Sa100 uwezo wake ni mdogo sana.yeye anajua akijenga jengo la hospital amemaliza.Hajengi barabara ya kufika hapo kwenye jengo,haweki dawa za kutibu wagonjwa na haajiri mwahudumu sasa jengo tu ndiyo litatibu watu?
Gentleman,Acha kuleta shobo za kipumbavu
Na Bado, mbele ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, hamtoishia kutukana tu Bali na kujiua kabisa mamamaee. Mama ametulia anawachezesha viuno tu na michuki yenu🤣🤣Situmii mikubdu umekua unanifutilia sana sifiri mimi kwa hiyo kaa kwa kutumia wewe *****
Na wewe nani kakuambia maendeleo ni Barabara? Maendeleo ya kweli ni maisha ya watu kubadilikaKitu ambacho Magufuli alikielewa ni kwamba maendeleo yanahitaji miundombinu, hasa barabara. Palipo na barabara ya lami, shughuli za kiuchumi huongezeka na maendeleo huja kwa urahisi zaidi.
Sijui ni nani aliyemshauri Rais Samia kwamba maendeleo ni kujenga zahanati pekee. Palipo na barabara, zahanati na vituo vya afya vitajengwa, lakini unapojenga zahanati bila barabara, wagonjwa watafikaje kupata huduma?
Kwa sasa, Tanzania inapaswa kuweka kipaumbele katika ujenzi wa barabara. Tuache blah blah! TANROADS ilikuwa inakaribia kufa, huku TARURA ikiwa katika hali ngumu. Wanasiasa, acheni siasa za kitapeli, hasa ninyi wana CCM. Mambo yamebadilika.
Namalizia kwa kusema, mwacheni Emmanuel Nchimbi aendelee na maisha yake. Hana kosa lolote.