Nani alimshauri Rais Samia kuwapigia simu wachezaji wa Taifa Stars muda mchache kabla kwenda uwanjani?

Nmemuona jana Lisu akifuta majasho na makamasi kwa kutumia bendera ya taifa.
 
Duh, kweli hapo kazi ipo!
 
Kwahiyo kama Raisi asingeongea nao (kwa madai yako) Taifa sters wangeshinda?

Tukubali kua mchezo wa soccar sio kipaji chetu, tutafute mchezo mwengine.

Timu yetu ni mbovu kama chupi iliyo liwa na panya.
 
Wenzao wanaimprove kila mara ila Taifa Stars ni kufungwa tu kila mara.

Cape Verde tulikua tunajipigia tu ila wale kwa sasa wapo mbali.

Taifa stars mnatia aibu kufungwa fungwa tu.
 
Sidhani mimi naona aliwaongezea ari wacheza tulifungwa kimbinu na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa timu ya Morocco kumbukeni pia mbinu ya kujidondosha dondosha mara kwa mara ya wachezaji wa Morocco
 
sisiem waachanganya mafaili

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…