mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Aisee hvi huwa inakuwaje watu wenye arguements namna kama yako wako hapa if.....hii yafaa sana Facebook, am sorry in advancewewe umejuaje?alikutuma vocha ili apige sim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hvi huwa inakuwaje watu wenye arguements namna kama yako wako hapa if.....hii yafaa sana Facebook, am sorry in advancewewe umejuaje?alikutuma vocha ili apige sim
Ameleta uhai jukwaa la sportsNaona game changer baada ya kula umeme na ile ID yake pendwa, ameibuka kivingine.
Jamani mbona mko hivyo. Hata kama Taifa sitaazi ni team mbovu sio sawa kuihusianisha na CCM.Mtu na akili zako utaishangiliaje Stars CCM?
Acha uchocheziNmemuona jana Lisu akifuta majasho na makamasi kwa kutumia bendera ya taifa.
Duh, kweli hapo kazi ipo!Mkiambiwa mkae mbali na mambo ya kitaalamu na msiwe na viherehere hamsikii tu.
Kisaikolojia alichokifanya jana Rais Samia kuwapigia simu wachezaji wa timu ya Taifa Stars muda mfupi kabla ya kwenda uwanjani hakikutakiwa na alikosea kwani kilichangia kuharibu maelekezo ya kiufundi ya kocha na akilini mwao wakawa wanawaza kumfurahisha Rais badala ya kuufikiria zaidi mchezo husika.
Endeleeni tu kuhusianisha timu ya taifa stars na Chama cha Mapinduzi na Serikali badala ya kuiacha iwe na sura halisi ya watanzania wote ili ipate baraka zao na siyo ichukiwe kama inavyochukiwa sasa na watu wasiopenda unafiki cognizant nikiwa ni miongoni mwao.
Haya mwambieni na tarehe 21 taifa stars ikicheza na Zambia muda mchache kabla hawajaenda uwanjani awapigie tena simu wachezaji wa taifa stars huku akiviita vyombo vya habari vimpige picha akiwa kaketi katika sofa lake akiongea nao sawa?
Kila la kheri Chipolopolo (Zambia) na Leopard (Congo DR) katika mechi zenu zijazo ambazo mtacheza na Taifa Stars (Tanzania) na cognizant nawaombeni mtufunge ili tutoke haraka na turejee ili ligi kuu yetu iweze kuendelea
nasikitika sana kuwa umechelewa kulijua hili mkuuHapa nagundua kumbe watu hawaipend stars sababu imekaa ki ccm
Sidhani mimi naona aliwaongezea ari wacheza tulifungwa kimbinu na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa timu ya Morocco kumbukeni pia mbinu ya kujidondosha dondosha mara kwa mara ya wachezaji wa MoroccoMkiambiwa mkae mbali na mambo ya kitaalamu na msiwe na viherehere hamsikii tu.
Kisaikolojia alichokifanya jana Rais Samia kuwapigia simu wachezaji wa timu ya Taifa Stars muda mfupi kabla ya kwenda uwanjani hakikutakiwa na alikosea kwani kilichangia kuharibu maelekezo ya kiufundi ya kocha na akilini mwao wakawa wanawaza kumfurahisha Rais badala ya kuufikiria zaidi mchezo husika.
Endeleeni tu kuhusianisha timu ya taifa stars na Chama cha Mapinduzi na Serikali badala ya kuiacha iwe na sura halisi ya watanzania wote ili ipate baraka zao na siyo ichukiwe kama inavyochukiwa sasa na watu wasiopenda unafiki cognizant nikiwa ni miongoni mwao.
Haya mwambieni na tarehe 21 taifa stars ikicheza na Zambia muda mchache kabla hawajaenda uwanjani awapigie tena simu wachezaji wa taifa stars huku akiviita vyombo vya habari vimpige picha akiwa kaketi katika sofa lake akiongea nao sawa?
Kila la kheri Chipolopolo (Zambia) na Leopard (Congo DR) katika mechi zenu zijazo ambazo mtacheza na Taifa Stars (Tanzania) na cognizant nawaombeni mtufunge ili tutoke haraka na turejee ili ligi kuu yetu iweze kuendelea
sisiem waachanganya mafailiMkiambiwa mkae mbali na mambo ya kitaalamu na msiwe na viherehere hamsikii tu.
Kisaikolojia alichokifanya jana Rais Samia kuwapigia simu wachezaji wa timu ya Taifa Stars muda mfupi kabla ya kwenda uwanjani hakikutakiwa na alikosea kwani kilichangia kuharibu maelekezo ya kiufundi ya kocha na akilini mwao wakawa wanawaza kumfurahisha Rais badala ya kuufikiria zaidi mchezo husika.
Endeleeni tu kuhusianisha timu ya taifa stars na Chama cha Mapinduzi na Serikali badala ya kuiacha iwe na sura halisi ya watanzania wote ili ipate baraka zao na siyo ichukiwe kama inavyochukiwa sasa na watu wasiopenda unafiki cognizant nikiwa ni miongoni mwao.
Haya mwambieni na tarehe 21 taifa stars ikicheza na Zambia muda mchache kabla hawajaenda uwanjani awapigie tena simu wachezaji wa taifa stars huku akiviita vyombo vya habari vimpige picha akiwa kaketi katika sofa lake akiongea nao sawa?
Kila la kheri Chipolopolo (Zambia) na Leopard (Congo DR) katika mechi zenu zijazo ambazo mtacheza na Taifa Stars (Tanzania) na cognizant nawaombeni mtufunge ili tutoke haraka na turejee ili ligi kuu yetu iweze kuendelea
sasa tuihusishe na nini broo sifa ya kuwa timu ya taifa haina imekaa kisiasa siasaJamani mbona mko hivyo. Hata kama Taifa sitaazi ni team mbovu sio sawa kuihusianisha na CCM.
ni kwel nimechelewa mana nilikuwa nahisi hisi ila toka samia apige simu nimejidhibitishianasikitika sana kuwa umechelewa kulijua hili mkuu