Nani alimshauri Rais Samia kuwapigia simu wachezaji wa Taifa Stars muda mchache kabla kwenda uwanjani?

Sidhani mimi naona aliwaongezea ari wacheza tulifungwa kimbinu na uwezo wa mchezaji mmoja mmoja wa timu ya Morocco kumbukeni pia mbinu ya kujidondosha dondosha mara kwa mara ya wachezaji wa Morocco
kwanza unazani atujui bob tunajua sana ila acha tuongee kwanza
 
Itakuwa Mwijaku, Makonda na Baba Levo ndio walimshauri huyo Mama apige simu.

Vinginevyo itakuwa ni ushauri wa Waziri wa Michezo na Katibu wake wa Wizara Ndg Msigwa G.

Adui Ujinga anatamba sana TANZANIA...
 
Yan apige, au asipige hata wangepewa maokoto ila tusingeshinda jmn hv mnashindwa kujua kuwa hatuna quality players na why kweny betting zenu mlimpa Morocco? Hakuna kiumbe kilibet kikampa Tanzania [emoji1241] kwhyo acheni unafiki
 
Atakuwa yule andunje aliyewachosha wachezaji kuongea nao zaidi ya masaa 2,ovyo sana
 
Rais anachangia sana kuharibu mpira katika nchi hii. Anatafuta ujiko kwenye michezo hasa soka baada ya kushindwa kupambana na hali mbaya inayowakabili wananchi wake kiuchumi.

Tanzania tungekuwa na uchaguzi wa maana huyu angepelekwa nyumbani alfajiri na mapema kwa sababu she isn't a presidential material but she is just a beneficiary of the flawed elections.
 
Ana gundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…