Ni suala la kuweka records sawa sawa wala si zaidi ya hapoHivi ni hizo million 10 sijui 7 ndo zinawatoa watu roho hivi?
Em mwacheni kijana wa watu , Khaa Awe shujaa, asiwe shujaa haijalishi kama hajawaokoa ni bahati tu imemuangukia.
Hebu tuendelee na mishe zetu jamani.
Record BONGO??? [emoji23][emoji23][emoji23] msinichekeshe!!Ni suala la kuweka records sawa sawa wala si zaidi ya hapo
Ripoti ya Wataalamu Ina mapungufu;Wadau WENYE AKILI KUBWA tulimjua SHUJAA wa Ajali ya NDEGE iliyoua ABIRIA 19 kuwa ni ABIRIA aiitwaye VICTOR na Mfanyakazi wa Ndege Walioshirikiana Kuufungua Mlango wa Ndege kwa Ndani na huyo Bw.VICTOR ndiye aliyesimama Mlangoni kuwavusha Abiria kuingia kwenye Mtumbwi.Pia huyo huyo Be.VICTOR ndiye aliyemtuma Majaliwa kuangalia Begi lake .
Je ni nani ALIYEMTANGAZA Kijana MAJALIWA kuwa SHUJAA na kwa VIGEZO gani?
Hao walioandaa hii report wameichukulia hii issue personal.Naye alikuwepo eneo la tukio mwanzoni kabisa kwahiyo kashiriki kwa namna moja ama nyingine kuwaokea abiria
Haina haja ya kumsakama tatizo letu watz tunaumia kwanini awe Majaliwa... jambo dogo hili tunalikomalia wakati kuna mambo mengi tu yanayotusumbua sisi watz kwa ujumla
Ripoti ya Wataalamu Ina mapungufu;
1. Huyo Victor kama yeye na mhudumu ndiyo waliofungua mlango, ilikuwaje watu 19 washindwe kutoka hadi wafariki? Lazima wali struggle ndipo Majaliwa akasaidia kwa nje
2. Baada ya kufungua milango anasema watu wakapanda mtumbwi. Je huo mtumbwi ulikuwa hapo ukiaubiri ndege ya Precision ianguke?
3. Ripoti hajawahoji manusura wengine wa ajali
MajaliwaWadau wenye akili kubwa tulimjua shujaa wa ajali ya ndege iliyoua abiria 19 kuwa ni abiria aiitwaye Victor na mfanyakazi wa ndege walioshirikiana kuufungua mlango wa ndege kwa ndani na huyo Bw.Victor ndiye aliyesimama mlangoni kuwavusha abiria kuingia kwenye mtumbwi. Pia huyo huyo Bw. Victor ndiye aliyemtuma majaliwa kuangalia begi lake.
Je, ni nani aliyemtangaza kijana Majaliwa kuwa shujaa na kwa vigezo gani?
cheka tu si mbavu zako mwenyewe hakuzuii mtuRecord BONGO??? [emoji23][emoji23][emoji23] msinichekeshe!!
aina ya watu mnaomkubali Majaliwa ndio ambao mnapendwa sana na wanasiasa,mnapendwa sana na manabii wa uongo na ni wafuasi wazuri wa chama tawala.Ni aina ya watu ambao ni rahisi sana kuwalaghai huwa hamjui kuhoji kwa kina.Hivi ni hizo million 10 sijui 7 ndo zinawatoa watu roho hivi?
Em mwacheni kijana wa watu , Khaa Awe shujaa, asiwe shujaa haijalishi kama hajawaokoa ni bahati tu imemuangukia.
Hebu tuendelee na mishe zetu jamani.
Majaliwa mwenyewe anasemaje kwanzaJe, ni nani aliyemtangaza kijana Majaliwa kuwa shujaa na kwa vigezo gani?