Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana la kusema basi...Majaliwa mwenyewe anasemaje kwanza
Mi nahisi atakuwa huyo huyo bwana Victor ndio aliyemtangaza Majaliwa kuwa shujaa au wee unaonaje?Wadau wenye akili kubwa tulimjua shujaa wa ajali ya ndege iliyoua abiria 19 kuwa ni abiria aiitwaye Victor na mfanyakazi wa ndege walioshirikiana kuufungua mlango wa ndege kwa ndani na huyo Bw.Victor ndiye aliyesimama mlangoni kuwavusha abiria kuingia kwenye mtumbwi. Pia huyo huyo Bw. Victor ndiye aliyemtuma majaliwa kuangalia begi lake.
Je, ni nani aliyemtangaza kijana Majaliwa kuwa shujaa na kwa vigezo gani?