Nani alimtoa bikra mke wako?

Nani alimtoa bikra mke wako?

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Habari zenu;
Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?

Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?

Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.

Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.

Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.

Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje


Mjadala uko wazi.
 
Ninachofahamu mimi ndie wa kwanza kumzalisha na serikali imethibitisha pia kuanzia Clinic mpaka NIDA...

Hayo mengine ni upuuzi usio na kithibitisho.
Usipanick ndugu yangu,kama sio wewe uliitoa haimanishi ana kasoro ila namaanisha kuna kitu unatakiwa ufahamu na ufanye ili kuhakikisha kuwa unaku N nafsi nzuri zaidi na unazidi kujiamini na mke wako
 
Kuna demu nilimtoa bikra akiwa katoka kumaliza darasa na saba kaanza form one napiga tu tena alinipenda sana kitendo cha kuingia form two kakutana na majanja yakaanza kupiga na mimba juu kuna muda kumtoa demu bikra sio kigezo cha kupendwa milele unaweza kuwa na demu kapigwa sana na akakupenda kumshinda aliemtoa bikra
 
Kuna demu nilimtoa bikra akiwa katoka kumaliza darasa na saba kaanza form one napiga tu tena alinipenda sana kitendo cha kuingia form two kakutana na majanja yakaanza kupiga na mimba juu kuna muda kumtoa demu bikra sio kigezo cha kukupendwa milele unaweza kuwa na demu kapigwa sana na akakupenda kumshinda aliemtoa bikra
Huyo hukumtoa bikra bwana ulimbaka tu....
 
Mimi nilitoa bikra wanne wawili saivi ni wake za watu, mmoja ameamua kuwa single maza na wa mwisho kabisa ndio yupo chuo
 
Back
Top Bottom