Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
ubongokid unashida gani, walio watoa wake zao walibahatika na waliokuta wake zao wametolewa ukiwaambia wafuatilie zaidi sana utamuumiza mke maana hata kuwa na aman atajiona kama vile yeye anaonekana ni malaya hakujitunza na kusubiri atakaye muoa ndiye atakayetoa bikira. Niseme tu kwamba hili sio swali la kuuliza mkiwa mmeshaanza maisha angalienni mnakokwenda na ikitokea anatenda nje utamuuliza akwambie aliyekuwa naye ni nani atasema.Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje